Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
wengi wanapiga kelele kuhusu kusitishwa umisseta na umitashumta kana kwamba lilikuwa ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu ya kitanznaia. mwningen anaongea kwa uchungu kuwa tutaua vipaji. najiuliza hivyo vipaji ni vipi na viliwah saidia Taifa? hamna jibu .nadhan ni sahihi turudi kuanza upya si ajabu. pesa zilikuwa zinatumika vibaya tu kuhalisia mambo yalishakuwa hovyo sana. aikuweo rais mmoja alijinasib sana na michezo lakini miaka yake 10 hatujafanya lolote kwenye michezo.
hiyo umitashumta na umisseta haikutusaidia. leo hii tuhangaike na mashindano ya Kimataifa ya nini? Rais aliaswa kutufungianna michezo hiyo tukae tutulie.
HAIKUFAA RANGI ITAKUWA CHOKAA?
hiyo umitashumta na umisseta haikutusaidia. leo hii tuhangaike na mashindano ya Kimataifa ya nini? Rais aliaswa kutufungianna michezo hiyo tukae tutulie.
HAIKUFAA RANGI ITAKUWA CHOKAA?