ISIDINGO THE NEED AS PER SABC3

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
5,907
8,246
wadau habari.....

hebu nipeni maujuzi nipate epsode zote za ISIDINGO ambazo zipo kati ya ile inayooneshwa na ITV na ile inayooneshwa na SABC3 ili niendelee na hiyo ya SABC3 maana ratiba ya ITV ni ngumu kuifata na hii kitu imeniingia kwenye damu sasa.

nimejaribu kuenda youtube lakini sijapata zote.

help please.
 
Ilikuwa hatari zamani Leth matabanes huku Nandipa na Dumisane aaah cku hiz m kama ciisom vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom