Ishowspeed ni CIA kama mjatambua.

Kwahiyo wewe una siri ambazo China wao hawazijui,mpaka wewe unasema huwezi kufunguka ili ubaki na hiyo siri sio?
Wabongo bhana!
Kwani nakubishia we mjuawaji.Omba uhai utarudi kuja kufuta unachosema.
 
Kwani nakubishia we mjuwaji.Omba uhai utarudi kuja kufuta unachosema.
Sasa mimi na wewe nani hapa ni mjuaji? nani kaonyesha ujuaji? tena wewe ndio umeonyesha ujuaji kuishinda mpaka Intelligencia ya China MSS,

Kwahiyo na Intelligencia ya China nayo pia iombe uhai ili ije kujua huko mbeleni kua Ishowspeed ni undercover wa CIA sio?
 
We jamaa una roho yenye kutu kabisa daa😂😂
 
Uzuri sio kila jambo kufunguka omba uhai utarudi kusoma uzi huu upya.
Mkuu umeangalia sana Mission Impossible, ukiona Tom Cruise Dubai anakimbia kimbia vile speed na suti yake unafananisha na Ishowspeed
 
Mwacheni huyu jamaa msimshambulie jmn, hata mimi napènda hizi story za hivi.

Story ambazo azina chanzo wala ushaidi zinachangamshaga huku gengeni hatari...

Leo naenda kuwashushia mzigo kama ulivo, na wananiogopaga maana story zangu nimpya na za kiintelijensia..

Juzi niliwaletea kuhusu Nchimbi wote midomo wazi leo naenda kuwapa hiii
 
CIA = Catholic Intelligence Agent
 
Mtu kuweka stream online kila nchi ndio kuwa jasusi?

Streaming si hata vilaza tu makapuku wanafanya. Utachelewa sana dunia hii ya teknolojia.
 
Ndio nani huyo huko daslam? Maana watu maarufu wanaongezeka kwa kasi sana zaidi ya huku Isangawana kuelekea Bintimanyanga ukitokea kijijini Mpigamiti
 
Huyo dogo is too loud kuwa undercover, labda useme ni ajenti wa burudani sio wa intelijensia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…