Ishini nao kwa akili

Ishini nao kwa akili

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,115
Reaction score
3,811
Mwanaume kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa hakikisha umeelewa hii falsa ya ISHINI NAO KWA AKILI.

Kama hujauelewa huu msemo au falsafa fanya mishe nyingine achana na mapenzi utalia kila siku.Mapenzi waachie mabandidu wewe jikite kutafuta hela.

MASIMP wengi wanavamia treni kwa mbele.Mwanaume hutakiwi kucatch feelings kwa mwanamke.NEVER EVER FALL IN LOVE,Ukijiona tu umeanza kufall in love jua anguko lako haliko mbali.Mwanaume unatakiwa uwe na uwezo wa kumpiga chini huyo malaya wako any time any where.No negotiation when your respect is at jeopardise.Hakuna kucheka na kima!!!

📌📌KATAA NDOA,LINDA KIBUNDA CHAKO!!

#In the loving memory of SIMPS.⚰️
 
Tunaishi nao kwa akili lakini tukiona kipochi manyoa, akili zinashi kipochi manyoa tu.
IMG_0958.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom