Ishi uwezavyo si utakavyo

Ishi uwezavyo si utakavyo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
View attachment 44828View attachment 44829 wabongo 2.jpg
 
Live as You Can Not as You Wish Because Many Have Tried so and Failed!!!!!!!Naomba ushauri wa Bure.............Kati ya Gari na Nyumba nianze kipi? i.e niendelee kuishi nyumba ya kupanga nikiwa nimenunua gari? (swahili mbofu)
 
Kila mmoja ana utashi wake, anza kujenga nyumba nitakuwa nakupeleka site na gari langu japo bado nimepanga
 
Kila mmoja ana utashi wake, anza kujenga nyumba nitakuwa nakupeleka site na gari langu japo bado nimepanga
................Afu Utapanga Kwangu...........
 
............... hakuna mbaya utakuwa unaniomba lifti kwenda kazini au kumsindikiza mkweo stand ubungo!
..............sijaoa............sina kazi (misheni tauni) ...............una mke??..............nitakuwa nabaki naye..........tch tch tch
 
Mimi ni mkunga mwanaume, ila kwa sasa nafanya kazi ya udalali wa viwanja, bahati nzuri GF wangu alishazunguka sana na kaamua kutulia kwangu, hawezi kubabaishwa na kijumba chako. Mwenyewe nillmpata baada ya kuwa ameachika kwa bwana mwenye ghorofa so nini kijumba
 
Geka unachati na mjombao nakujua tangu wakati nakulea umedanganya kadamnasi
 
Back
Top Bottom