Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,268
- 14,526
Huwezi kumimina kutoka kwenye kikombe kitupu. Jipende kwanza. Jijali kwanza. Jaza kikombe chako cha furaha. Kisha utakuwa na cha kutosha kuwagawia wengine.
Wewe ni mchanganyiko wa kipekee wa nyota, vumbi, na nondo. Hakuna mwingine kama wewe.
Usijaribu kuwa nakala ya mtu mwingine. Kubali upekee wako, ndiyo nguvu yako kubwa. Maoni ya watu juu yako sio uhalisia wako. Ni kioo kinachoonesha wao ni nani, si wewe.
Mtu pekee unayepaswa kushindana naye ni yule uliye kuwa jana. Kukosea si kinyume cha mafanikio; ni sehemu ya mafanikio. Jikubali na makosa yako. Jifunze kutoka kwayo. Ni ishara kuwa unajaribu, na hiyo ndiyo busara... Mjusi na tafakari.