Ishi kwa kujitambua na kujipenda

Ishi kwa kujitambua na kujipenda

Yaan kuna watu hawajipendi mtu unakuta ana hela ila maisha anayo ishi kama kaongea na Mungu atakaa milele hapa dunia yaan hata tu kula vizuri kulala pazuri hata kiusafiri hata kama baiskeli.Lakini mtu unakua unajinyima mpaka kula utelezi unaenda kwa wauza uchi kula makombo wakati mtaani kuna vigori.Mm naishi km kesho haipo na Mungu azidi kunibariki
Utajuaje wa mtaani kafungua genge lake anauzia akiwa nyumbani tofauti na hao wanaouzia sokoni?
 
Utajuaje wa mtaani kafungua genge lake anauzia akiwa nyumbani tofauti na hao wanaouzia sokoni?
Bora usijue anauza mzee yaan unaenda sehem mmepanga folen ama unakuta jamaa linatoka kula na ww unaenda humo humo unakutana na harufu ya ajabu ajabu tu ...hapana bwana huko ni kujichukia na kutokujitambua
 
Una jua kwa ni nini asilimia kubwa ya watu wanaopata ukimwi kwanini hawaambukizwi na wanajulikana wanauza?
 
Kuna uzi humu wanaelezea maswala ya hao wanaojiuza kua hua wanakua na madawa unaenda kununua unajua unalala na mtu kumnbe unakula fisi 🤣🤣🤣sasa hapo ukimwi ataupata wapi ama ww utaupata kwnye fisi
Hizi takataka za kibantu Zina vimelea vya ukweli kwenye fasihi zao unaweza kudhani is just emotional reaction

But fvck dem, their ready in future before

This ass need stay in hell in all meens
 
Marko 12:31..."Mpende Jirani Yako,,Kama Unavyojipenda.."Maandiko Yanasisitiza Pia Na Walijua Lazima Ujipende Kwanza Wewe,,Na Ndio Huo Upendo Unahamisha Kwa Majirani...
 
Yaan kuna watu hawajipendi mtu unakuta ana hela ila maisha anayo ishi kama kaongea na Mungu atakaa milele hapa dunia yaan hata tu kula vizuri kulala pazuri hata kiusafiri hata kama baiskeli hana.Lakini mtu unakua unajinyima mpaka kula utelezi unaenda kwa wauza uchi kula makombo wakati mtaani kuna vigori.Mm naishi km kesho haipo na Mungu azidi kunibariki
Utakufa vibaya mkuu, ule mbususu hovyo halafu utegemee mungu akubariki.
 
Marko 12:31..."Mpende Jirani Yako,,Kama Unavyojipenda.."Maandiko Yanasisitiza Pia Na Walijua Lazima Ujipende Kwanza Wewe,,Na Ndio Huo Upendo Unahamisha Kwa Majirani...
Hakika mkuu, huwezi kuwependa wengine kama wewe mwenyewe hujipendi.
 
Back
Top Bottom