EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,136
- 13,401
Zamani nyuma mtu alikua akinililia shida hata kama sina ntalibeba mpaka tusolve ,nikipata ka cash ntawaspoil watu nabaki sina hata 100.Mimi nikipata majanga siwaoni ,wao wakipata cash wanaenda kuinvest.Sasa hivi wanadai nimebadilika na nimebadilika kweli .Napigana vita vya uchumi vikali sana.Ukitaka laki nakwambia kuna buku 5 hapa tu ka utaitaka nikurushie.Bia nakunywa mwenyewe ukijileta kwangu nakwambia kabisa ninulie 3 kwanza na mimi nakupa 3.Watu wa sasa ni vilema na mbu watupu ,kazi wanayoiweza vizuri ni kunyonya na kufyonza tu.
