Dangotte Junior
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,949
- 8,509
Sawa
Jamaa anaumwa hata laki moja mpaka awaombe wamchangishie..Yaaani![]()
Aisee.Jamaa anaumwa hata laki moja mpaka awaombe wamchangishie..
Huku ndugu wote wanadai hela hawana sababu ya ada ya watoto wao.
Na ada za watoto vs laki moja ???
Pole kwa yaliyokukuta mkuuHaya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.
Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund
Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
Tupe tips za kutokuila hiyo hela ya dharula, wapi itumike na wapi isitumike hata iweje
Hawa sio wa kuwazingatia kila wakati kabisa.Kuna Watu wanakera Sana,
Wakiskia umepata hela kwny dili flan,
Ghafla wanaanza kukuorodheshea matatizo Yao ili umege flan uwasaidie.
Dah yaan ndo man hata mtu ukipga issue mahali husemi maan ukisema tu mtu anakutangazia shida ukimnyima wanaongeaKuna Watu wanakera Sana,
Wakiskia umepata hela kwny dili flan,
Ghafla wanaanza kukuorodheshea matatizo Yao ili umege flan uwasaidie.
Naunga mkonoKitu chakwanza
Hakikisha wewe ndio unaiamulia akili yako na sio akili ikuendeshe wewe....
Ikumbukwe kua msingi imara wa maisha/kuishi ni mahitaji
Na mahitaji hayo kwa 70% yanauhusiano mkubwa na fedha.
Nguo/chakura na vyote vinvyotuzunguka tukiacha pumzi pekee.
Hivyo inawezekana kabisa kukuwia vigumu kuiweka fedha na ikakaa
Mwingine ameajiliwa na analipwa!
Akipokea fedha ni kula bata hadi inakata yote! Kiasi kua inahitaji hadi kukopa kwa wengine...,hivyo anakuja kupokea mshahara unakua tayari unatembea na hasi- ya kiasi
Acha bank na amua ya kua fedha hi siitoi basi imekwisha!
Panga budget yako then tembea nayo hiyo....
Usiende nje ya budget
Usitumie fedha kwa mambo yasio muhimu/lazima
Ila unaweza weka kiasi kidogo kwajiri ya mambo himu
Then pesa kidogo zaid kwa mambo yasio muhimu wala lazima!!
Kwa upande wangu nkishafunga budget zangu za mwezi hua sitoi fedha yoyote kwenye Account yangu hadi ntakapopangilia tena kipindi kingine
Kuna wakati nakua sina hela kabisa ila haimaanishi sina fedha.
Nn kimekukuta mkuuHaya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.
Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund
Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
Exactly nashangaaa sana watu wanaosema ishi vizuri na watuHaya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.
Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund
Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
vinginevyo ni uongo nikunyenyekeee umekuwa pesa au pumzi ya uhai kwenda huko hio ndo principle yangu mkuuuEti mwanangu unaona eeehHiyo ni kweli kabisa mkuu tena nyakati hizi watu wanaishi kinafik tu.. Wengine husema et sijui 'ishi na watu vizuri ukifa hujui atakae kuzika' hapo unabaki unashangaa kwan hiyo siku ya mazishi ntakuwa nashuhudia!
ExactlyAkiba muhimu sana aisee, mambo ya kusema nina brother wangu sijui anko hamna sikuhizi, kila mtu anaangalia watoto wake

Ukililazimisha kula muwa utajipa maumivu tuKusaidia au kusaidiwa sio lazima ni uamuzi wa mtu ukiomba masaada usipewe basi usilalamike au kuchukia watu. Mkundugu hauwezi kula muwa![]()
NaamUkililazimisha kula muwa utajipa maumivu tu
Na wananuna kwelikweli usipowasaidiaDah yaan ndo man hata mtu ukipga issue mahali husemi maan ukisema tu mtu anakutangazia shida ukimnyima wanaongea
