Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Safi kiongozi, tupe tips za kubuild emergency fundHaya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.
Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund
Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
Ukipata pesa fanya serving
Weka fedha kadri uwezavyo
Hakikisha unakua na walau hata (30000) ya emergence inapotokea jambo
Serving ni muhimu
Simple tu.Safi kiongozi, tupe tips za kubuild emergency fund
Kuna baadhi ya Watu (Hasa ndugu)
Wanaamini wao kusaidiwa Ni lazima
Kwasababu wanaamini unazo hela
Haitakiwi kua Hali, Bali wajibuWatu tumetafoutiana Sana Kuna Mtu anaamini yeye kusaidia ni haki yake
FactHiyo ni kweli kabisa mkuu tena nyakati hizi watu wanaishi kinafik tu.. Wengine husema et sijui 'ishi na watu vizuri ukifa hujui atakae kuzika' hapo unabaki unashangaa kwan hiyo siku ya mazishi ntakuwa nashuhudia!
Tupe tips za kutokuila hiyo hela ya dharula, wapi itumike na wapi isitumike hata iwejeUkipata pesa fanya serving
Weka fedha kadri uwezavyo
Hakikisha unakua na walau hata (30000) ya emergence inapotokea jambo
Serving ni muhimu
Yani npikua nakula ugali huku nawaza hivihivi..naingia huku nakita umeandika hayahaya..acha tu!Haya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.
Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund
Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
Yaaani[emoji3064]Yani npikua nakula ugali huku nawaza hivihivi..naingia huku nakita umeandika hayahaya..acha tu!