Mkuu Hali hiyo ilinitesa Sana ila nili idhibiti kwa kusoma vitabu mbalimbali vijiwemo vya dini na story za kuchekesha na kufurahishaHabari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!
Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!
Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!
Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
Asante sana kiongozi, hii huenda ikasaidia!Huwa inatokea kama kuna kitu hakipo sawa lazima kipo ila hutaki kuiruhusu akili yako ipeleke taarifa kwenye ubongo kwamba kuna kitu hakupo sawa...matokeo yake ndio hayo unakua upo upo tu,kuumwa huumwi ila kama unaumwa,unakosa hamu ya kula,unashinda ndani..
Jichunguze mienendo yako kwa kuiruhusu akili ikubali matokeo na kuyafanyia kazi
Asante sana Kiongozi, Nipo Nasikiliza Nyimbo za Dini!
Ahahaha utakuwa unaogopa Kufa!Mi nikipanda ndege au basi linalokimbia sana nakosa raha njia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni teenager, basi ni kawaida ni kipindi cha mpito na chaweza kuwa kigumu sana pia. Ila kama una umri zaidi ya miaka 25, ni crisis kwenye maisha,Habari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!
Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!
Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!
Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
Mi pia inatokeaga,lakini ikitokea huwa najiuaHabari za usiu wanafamilia wenzangu wanaJF!
Ishawahi kukutokea katika maisha yako ya kila siku unakosa tu amani na furaha, kila ukijifikiria huoni kinachokukosesha amani na furaha!
Hujisikii kufanya lolote wala kujihusisha lolote.. unaeza kuta hata usiku unakata bila sababu!
Ulifanyaje kuikabili hali hii!?
Mkuu Ni stress zikatae,usiruhudu Hali hiyo iendelee mwisho wa siku Ni DEPRESSIONAsante sana Kiongozi, Nipo Nasikiliza Nyimbo za Dini!
Tupo wengi kumbeeeMi nikipanda ndege au basi linalokimbia sana nakosa raha njia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app