Ishawahi kukukuta hii?

Miss you too lovey! Hope you good!
 
ni shida i cant imagine aibu aliyojisikia,mambo ya beach watuachie wenyewe tuliozoea sio kuingilia fani za watu matokeo yake ndo haya lol!
 
Jamani hawa wadau wako beach!

sasa naona mshakaji.. dah! sasa huu ni ukame ama?
ndio mara ya kwanza kukuta na huyo bibie au..maana kama umezoea haya 'masika' yasingemkuta
 
ndio mara ya kwanza kukuta na huyo bibie au..maana kama umezoea haya 'masika' yasingemkuta

mkuu unajua unapobadilishia mazingira ya kugegedea ndo raha.
sasa kijana wetu alikuwa hajawahi kuguswa na ubaridi baridi wa maji ya bahari bana, ukichanganya na hilo toto la kichaga, mambo yanakuwa ya moto sana!!!!
 
kweli eeeh lakini pia inaonekana haja cheza mechi kwa mda mrefu huyu anauchu kama mwewe aliyeona kifaranga mmmh!
 
Kijana ana kiu kali/Ukwasi angekunywa maji ndio aende beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…