PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,182
Ohooo!!kamtu kazima hako sema kana mwili wa kimbau mbau.Auuuwiiiiiii katoto c kadogo haka
Wajamen
Ohooo!!kamtu kazima hako sema kana mwili wa kimbau mbau.Auuuwiiiiiii katoto c kadogo haka
Wajamen
Mkuu hakuna cha saloon muuza kidudu huyo.Anafanya kazi saloon gani?
hahahaha mamkonde mwenzie...aise harmonize ana hitaji msaada wa kisaikolojia bora arudi amlilie wolper

broiler tenaWa wapi tena huyu ana mapaja kama broila.
Ohooo!!kamtu kazima hako sema kana mwili wa kimbau mbau.
Ohoooo!!!majanga.Watch Out Harmonize..
Huyu Demu Kaungua..
Ngoja namimi nilitafute nizabe!
Ngoja namimi nilitafute nizabe!


Watch Out Harmonize..
Huyu Demu Kaungua..
Ohooooo!!Jamaa wa madale ndio zao kuopoa wamama watu wazima.
Huyo Isabela angewahi kuzaa angekuwa na mtoto umri wa Harmonize.




Mkuu una uhakika Huyo ndio yule aliepiga picha na Harmonize kule juu?!
Ndiyo huyo huyo mkuu.Mkuu una uhakika Huyo ndio yule aliepiga picha na Harmonize kule juu?!
Mbona hapa anaonekana kama Muzungu?!
