bro samahani sana nakuomba uwe mstaarabu,mimi ni pure tanzanian wala huhitaji kunihisi kuwa muhutu,but what,ninachoangalia na kufanya nilete mijadala hii hapa ni utashi wangu tu kwa hawa viongozi ninaowaona ni madikteta basi,niliwahi kumzungumzia kagame hapa,sio kwa sababu nawachukia watutsi no,no,no,ni kwasababu sikubaliani na ubabe na siasa zake za kutotaka kupingwa kwa namna yoyote ile,yaani kulazimisha kukubalika,by the way museven na kagame is same trouble in east afrika,wote wameingia madarakani kijeshi kwa coup d,tat,kisha wanataka watawale maisha,haikubaliki,pia kuna swala jingine wote wawili lao moja,sasa hivi wame occupy congo na wanachokifanya huko ni balaa unaloliona na kulisikia,kagame ni mtu wa museven sera na style zao zote kiuongozi zinafanana na mbaya zaidi ni mauaji wanayoyasababisha between those two country and congo either.