jamani hebu nisaidieni hivi vile vibano kwenye miereka ni kweli au maigizo? Maana nasikiasikia kwamba wale wachezaji wanazuga tu! Anayefahamu anisaidie..