Umenikumbusha bibi mmoja huko kwetu. Alinipa tzs 1000/-, with a wide toothless smile. Akaniambia mwanangu, ukajinunulie zawadi yoyote utakayopenda. Alikuwa na umri kama wa 95 hivi wakati huo. Hadi leo amenipa deni, kila nikienda ana tenge la wax. Kuna upendo unaogusa aisee!
Daaanh finally!!!!
Thank you!!!
karibu tena papito
Your guest, always!!!!
Nikukundie!!!!
Wanafalsafa wanasema kuwa: You can give without loving, but you can not love without giving!
Jamani ukweli wa usemi huo ni upi. Vijana mnasemaje, labda na wazee!
Huyu bibi wa almost 100 matenge bado yanamkaa kweli? Mi naona ungembadilishia zawadi kwa sasa...mawazo yangu lkn
ni kweli, kinachokuwa nq thamani ni upendo uliomo ndani ya zawadi hata kama ni ndogo kiasi gani.
hahaha, anajipenda kama nyau wa kizungu. Kila nikienda namkuta kashona nguo, tena sketi na blauzi. anavaa na raba, na mkongojo wake. Kajipaka mafuta anatelezaaa. i love that bibi aisee
Unashauri nimpelekee zawadi gani? manake ana wanae wanamtunza sawia
Wanafalsafa wanasema kuwa: You can give without loving, but you can not love without giving!
Jamani ukweli wa usemi huo ni upi. Vijana mnasemaje, labda na wazee!
Mie lugha ya malkia yanchanganya..hata sijaewa!!
ni kweli kabisa sie huwa tunasema "ikunda nyi niigya"
kuna mtu huwa ananiambia 'it is the thought that counts'
yaani mtu amekufikiria, na kwa uwezo alio nao anataka kukuspoil. Kuna siku my niece, 8 years old aliniambia tuingie hapo, i will buy you anything you want as long as it doesnt exceed tshs 5000/=
i almost cried. manake nilimuambia that place is expensive and i couldnt get money out of atm. imagine hiyo 5tau nilimpa jana yake na nikawa nimesahau.
Ukielewa na mie nijulishe
wazee tunasema iko sawa...