Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Halafu huyu mtu namshtukia
Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?
Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya
Kwanini?
Au ndio kutafuta "umaarufu"?
Mtu mzima hatishiwi nyau wewe!!!!!!
Ni mkongwe huyu Baba Paroko,hii ni Id mpya ya kuulizia hili swali,angetumia common Id comments nyingi zingekuwa ni hata wewe?
Moyo wa mtu ni giza nene..if u love him go ahead,but always take care of urself....don't compromise too soon..kukutana nae online doesnt mean he is a bad man,wapo wanaovunja mioyo yetu hata tuliowafahamu for years tangu tukiwa watoto
js take ur chances enjoy life and love him he's what u got right now,than live with regrets later
Nahisi huwajui vizuri team bazaz jf..
Unaibiwa huku unajiona..
Hebu achana na huyo mtu kabla hujalia zaid
Mtu mzima hatishiwi nyau wewe!!!!!!
[/B]Hamna cha ajabu mamy,mapenzi yaliyoanzia mitandaoni na yakafika mbali yapo na long distance relationship zilizo work pia zipo kama ambavyo mapenzi ya classmates au watoto wa familia rafiki yaliyo fail yapo na mapenzi ya kushare chumba na kujifunika shuka moja pia yaliyo fail yapo!
Go mamy,kuwa tu makini kama ambavyo ungekuwa kwenye mahusiano yeyote yale!
All the best!
Uko poa umbuje?
Hapana hujakosea mimi ni kaka
Lakini wewe ni kwamba unawasiwasi na mapenzi ya mtandaoni kama ni halisi halafu unakuja kuwauliza hao hao wa mtandaoni ili wakujibu kama hilo penzi lako lita work
Hii ni sawa kweli?
Miss Kim, najua nimekushambulia kwa suala la ID, niwie radhi lakini nilitaka nitoe dukuduku langu na kuonyesha kutofurahishwa na hilo suala.
Hili suala lako halina suluhu moja kwa kila tatizo, kuna watu wamefahamiana mitandaoni wakaishia kuumia na wengine mambo yameenda sawa.
Binadamu tuko tofauti na hatutabiriki, laiti tungekuwa na uwezo wa kujua mioyo ya tu, pasingetosha.
Kuna watu wamefahamiana kwa kuonana ana kwa ana, hali kadhalika wapo walioumia na wapo mambo yameenda vizuri.
Kuna unafuu kidogo kwenye kuonana ana kwa ana kwa sababu inakupa fursa ya kupunguza baadhi ya maswali ya muonekano halisi wa mtu unayeanza nae mahusiano.
Watu watakushauri mengi lakini mwisho wa siku wewe ndio utakaebeba matokeo yeyote ya hili suala yawe mabaya au mazuri. Fuata moyo wako.
Huwezi kujihakikishia uhalisia wa mtu kwa mtandao.
Hahaha mode wasi zimerge tu ka bujibuji
Hapana umbuje...
ID yangu mpya hiyo
Hilo nalo neno wiii!!
Kama hatishiwi nyau anatishiwa nini