First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Zeddy Zeddy vipi facebook kwema?Nt evryone cn stay single... personally cwez ht kdogo,nkiachana na huyu 3 daez lazma niwe na mwngne cz lonelinec myt kil me...
Hiyo ni rebound......inabidi mtu achukue likizo ya mapenzi before moving to next one
Nt evryone cn stay single... personally cwez ht kdogo,nkiachana na huyu 3 daez lazma niwe na mwngne cz lonelinec myt kil me...
inategemea unaichukuliaje....wakati mwingine unapunguza maumivu na kupata relief huku ukisubiri tena maumivu ya baadae! lakini who knows your love destiny?!
replacement....
Bt siku itafika ukaangukia ktk mapenzi automatically, yakivunjika itakuaje? Hutapenda tena? Je ukijikuta umpenda utakuwa unamaana ya kupenda au kureplace nafasi iliyoachwa wazi?hautakiwi uwe mlevi wa mapenzi kiac hicho kwamba hauwezi kukaa single hata kdg,
huko ni kujiendekeza kutakako kuletea madhara kuliko faida.
Watu tupo single tunakaribia mwaka mwa 5 & we are happy na kila kitu kinaenda kama kawaida.
kwema 2...cjakuona leo ndo mana nmekufuata huku..Zeddy Zeddy vipi facebook kwema?
Bt siku itafika ukaangukia ktk mapenzi automatically, yakivunjika itakuaje? Hutapenda tena? Je ukijikuta umpenda utakuwa unamaana ya kupenda au kureplace nafasi iliyoachwa wazi?
Agreed MadameX
Likizo ya mapenzi ni muhimu sana ili usije ukachemka. We have the tendency of attracting the same kind of trouble. Clear ur head, acha moyo upone ili ukijitosa una akili zako timamu.