Plot281
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 875
- 455
Ila watanzania kwa kujadili vitu...vidogo vidogo Mara gauni la blue...yaani katika inaugural yote nyie mmeona tukio la kuvutia ni mavazi na rais huyo kudance na mke wake tu....ama lugha haipandi kama ni hivyo basi sawa English media schools zitasaidia kizazi kijacho