Is This Love?..or infatuation?..then what next?.......

SnowBall, pacha wa snowhite.......

Tafadhali tafadhali tafadhali, kama ulivyosema unae wako....

Huyo binti anakuweka karibu, na inavyoelekea muda si mrefu atakunyakua.....

Kwanza kwa nini uongozane nae kwenye field?
Kama huna la kufanya si uingozane na girlfriend wako mza'bond'?

Sumu haijarabiwi kwa kulambwa....
sema wewe kiazi!manake mi nahisi kama pacha wangu nae kakamatwa humu!nahisi hivo yailahi ngoja aje atuambie
 
My pacha snowhite say something bana....usiwe kama Ciello ...naogopa kuusemea moyo wa mtu..but macho yanaona..lol
Ciello[/MENTION] hata marefa wana timu zao...source mwana FA
So hapa twin brother wangu SnowBall amekamwatwa ujanja hana kuna mtu anamlia mingle af ye hasomeki wala hasomeshi ahahhahahhaah haya makitu bana kila siku tu wanafunzi ujue!kwa hiyo we mshauri tu lakufanya manake mi pacha mtu nashindwa pa kuanzi nikizingatia kandoa kake na sakapal ndo hivo changa lakini kusema ule ukweli we only live once yu know!ahhahahhahahhahhah
 
Last edited by a moderator:
Issue ipo kama nilivyoeleza kwenye thread pacha wangu....yaani kutema ngumu na kumeza naona pia ikama ina mwiba..nadhani i have to decide before it gets dawn!
pacha sasa hii mbona ngoma nyepesi matao yake kaka mkubwa!..nimekuuliza swali we unafeel aje kwa huyo mutoto sijui wa wapo yailahi?ila dah hii baraaah ujue!

[MENTION]BADILI TABIA[/MENTION] sometimes life is filled wit contradictions, issues, problems etc..so the length of our love may depend on our ability to deal with problems arising....thank you for caring!..ila hapo nilipobold sijakusoma fresh.....
SnowBall, pacha wa snowhite.......Tafadhali tafadhali tafadhali, kama ulivyosema unae wako....Huyo binti anakuweka karibu, na inavyoelekea muda si mrefu atakunyakua..... Kwanza kwa nini uongozane nae kwenye field? Kama huna la kufanya si uingozane na girlfriend wako mza'bond'? Sumu haijarabiwi kwa kulambwa....
 
Issue ipo kama nilivyoeleza kwenye thread pacha wangu....yaani kutema ngumu na kumeza naona pia ikama ina mwiba..nadhani i have to decide before it gets dawn!

BADILI TABIA sometimes life is filled wit contradictions, issues, problems etc..so the length of our love may depend on our ability to deal with problems arising....thank you for caring!..ila hapo nilipobold sijakusoma fresh.....
pacha wangu kaka yangu mpenzi uliyeniachia ziwa kwa mama yetu baada ya muda mreeefu kupita(lol)
nisikilize mi pacha wako

kusema ukweli ule wa moyo kabisa
,huo ni moto kakangu!mi huwa nasema usijaribu kuwa na affair na mtu unayehisi tayari ulishampenda kabla !
an affair has to be one!ukiruhusu kuingiza hisia za kiukweli kwenye affair ni issue (nazungumzia kwa wale wenzangu na mimi yani wenye ndoa na mahusiano ya kudumu wenyewe mnaita steady relations)ogopa sana kuanza kudate na mtu unayehisi tayari ulishakwama kihisia!
mengine LETS HAVE A SIS TO BRO TALK! kuleee chemba
 
in that case ile offer yako ya tukutane tuone nani analipa au halipi
nimeikubali...subiri pm lol

Finaaaaaaaaaaaallly! You grew some balls!!!!!!!!!!!!!! Ngoja nifungue njia chitoto chaanza tambaaa. lolest. Sasa ile yangu haikuwa ofa bali ni invitation to treaty, nangojea ofa yako sasa mdau. Ndani ya hiyo ofa uzingatie yafuatayo

1. Nahisi wewe una uarabu kidogo so ILL BE EATING LEBANESE pale ALBASHA si ndo mambo yenu hayo.
2.I will jst drink wine non alcoholic ( precaution is better than cure sina imani na wewe! Lolest!)
3.YOU WILL PAY ALL THE BILLS.

Na hiyo ofa itakubaliwa endapo utakuwa UMEPATA MEMBERSHIP DSM YATCH CLUB!!!!!!!!!!

It doesnt take toooooo much to see me!!!!!!! Lolesh!

Kama nakuona COMMUNIST unavosunya na hii proposal!!!!!!!!!!!!!!!!! HA HA HA HA HA! (Imebidi nicheke CHEKO KUBWA!)
 
You always make me laugh..! Hahahaaaaa.....
 
Issue ipo kama nilivyoeleza kwenye thread pacha wangu....yaani kutema ngumu na kumeza naona pia ikama ina mwiba..nadhani i have to decide before it gets dawn!

[MENTION]BADILI TABIA[/MENTION] sometimes life is filled wit contradictions, issues, problems etc..so the length of our love may depend on our ability to deal with problems arising....thank you for caring!..ila hapo nilipobold sijakusoma fresh.....

pale nilimaanisha muda huo uutumie ku-bond na girlfriend wako....

Mapenzi hujengwa vile utakavyo, weee na gf mna nafasi ya kujenga mpendavyo sasa......kazi kwenu
 
My take is she is enjoying your company. I can do that with a male friend and sex does not even cross my mind. For example, i frequently drive upcountry for business, alone. I see no harm inviting a male friend to come along. He will get a free ride to go places and i get to be drove around. And i dont even mind him coming with his galfriend.
If i was you, i would ask her how does she perceive our friendship. But since you have a galfriend, and you cant be open about this friendship then quit it. Otherwise, talk about your partners and ask her about her man. If you can venture through this smoothly then there is nothing to worry about. I hate it when all men can see in me is the need for sex.

To conclude: you are having an infatuation!
 
I too hate those women who always perceive you as ladies' hunter as long as you get closer with them!!
I hate it when all men can see in me is the need for sex. To conclude: you are having an infatuation!
 
As it seems hard for you to decide, just tell your girlfriend this whole story and ask her what you should do.
 
I got to know her because she was the friend of my friend's girlfriend and because they used to come to our place then we became very close...Unfortunately, it had turned from bad to worse..u know why?...She doesn't want to lose me in her sight as a day is passing..she is calling me even in late hours (though she seems to have nothing concrete to speak out)..yesterday she told me to join her in the gym....one week before she called me for a lunch and we joined together..surprisingly, she had given me an invitation to escort her in her field research (supposed to be done for three weeks)..I haven't decided yet!!

The thing now is when i look into her eyes i see no any sign of love..but still i wonder why she had been doing all these stuffs for me..remember she told me she has a boyfriend and that the guy is a bit far from here we are...Me too i have a partner and she knows this...But she doesn't seem to care about this and still keeps herself closer to me...

Guys is this what lara 1 is calling 'zombilization'???.Actually on my side i had never experienced this kind of a shit..so i am bit puzzled..lol ..Hey people if this persists could you guess what will happen?..i am baffled for real..lol!

Snowball what do you feel for her in your heart, is it love,lust or what? If you love your GF and she do love her BF I think you better be normal friends.Mkishindwana kila mtu achape lapa kivyake,asikuharibie na wewe usimharibie.
 
Back
Top Bottom