Is this Africa's 1st Female Billionaire?

Is this Africa's 1st Female Billionaire?

Afadhali huyu utajiri wake unajulikana na analipa kodi na kutoa ajira kwa waangola pamoja na kuboresha infrastructure...
 
ok ok taja mwingine
chash,

Target yangu ilikua nimueke Mwalimu katika category ya kipekee because he is a good example of
a selfless leader dedicated to the interests of his people.

Shukran.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni kweli hii story?

Nilishasikia siku za zamani kidogo kuwa Bakhresa ni DENTIST wa Tembo. Kumbe Kinana ana Mwalimu wake, lohh 🙁
Behind every great fortune, there is a great crime.

Bakhresa anasifika kwa kuuza mikate lakini kashauza pembe sana.
 
Watu wote wanastrugle kuanzia pale walipo. Watu maskini tajiri, viongozi na hata wasio na madaraka. ENTREPRENEURSHIP ipo kwa watu wote na profession zote. Huwezi kuniambia an Engineer hawezi kuventure mpaka awe ameiba. Kuna ma Engineers wengi tu wamefanya mambo ya ajabu mfano Frederick Taylor alifanya vizuri katika management ingawa hakusomea management. Sioni ajabu Isabela dos Santos kuwa bilionere. Mbona kuna watoto wengi wa Maraisi mafisadi kama vile Idd Amin Dada, Mobutu Seseko wa Zabanga wa Zaire etc wameshindwa kuwa Bilioneres.
Isabela kanunua shares katika makampuni mbalimbali serikali ijayo itawezaje kumnyang'anya?.
Kila tajiri ana chanzo chake, lakini ni vigumu kuwa tajiri bila kumdhurumu mtu yeyote hata kama sio mtoto wa raisi

Nani alikuambia mali ya kwenye hisa haifilisiwi? Ukweli ni kuwa wananchi wa Angola wenyewe ndio wanazungumza hivyo. mali zake zinajulikana kwakuwa zimo kwa jina lake...tofauti na hapa kwetu Tanzania, watu wanamiliki mali, wengine ni watoto wa vigogo, mali nyingi kuliko umri wao, lakini huwezi kuwatia hatiani kwakuwa haziko katika miliki ya majina yao kisheria!!
 
Huu utajiri uko attached na madaraka ya baba yake!
Riz nae soon atashika namba moja then Dangote
 
Back
Top Bottom