Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
mie nilidhani ka struggle mwenyewe kumbe wamehamisha kodi za wana Angola. Ah wizi mtupu!
Unless I am out of my minds, all facts are presented in your post, what exactly do want to hear from JF members? or you simply want us to see the photo of the old lady? Plz tell us!!
mie nilidhani ka struggle mwenyewe kumbe wamehamisha kodi za wana Angola. Ah wizi mtupu!
Angola ni nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta na almasi. Rais wa Angola amehamisha mali za taifa na kulimbikiza kwa mwanawe kwa kisingizio cha ufanya biashara.
Kila kitu kikubwa cha Angola, hususan pale Luanda, kina mkono wa Binti huyu na familia ya Rais Dos santos.
Wananchi wanalalamika chini chini...lakini hawawezi kupaza sauti yao kwa kuogopa kunyamazishwa.
Luanda ni mji wenye gharama kubwa za maisha kuliko miji yote ya Afrika, na wa pili kwa gharama za kufa mtu hapa duniani, ukizidiwa na Tokyo, na kidogo Geneva.
Kipato cha mwananchi wa kawaida wa Luanda, ni wastani wa dola mbili kwa siku, na utajiri wote huu kulimbikizwa na watu wachache kwa njia za kifisadi si haki hata kidogo.
Huyo Dos Santos akitoka madarakani..mengi yataibuliwa...na hapana shaka mali nyingi za Rais huyu, na majemedari wachache wa Jeshi, zitarudishwa kwenye mikono ya Uma.
Ni kweli kimahesabu aweza kuongoza kwa kuwa na utajiri mwingi kuliko mwanamke yeyote Barani Afrika..lakini kwakuwa ni pesa za dhuluma...hawezi kuwa na fahari nazo...Yupo wapi Rais Muamar Ghadhafi na utajiri wote ule aliokuwa nao?
Hapa ndipo ninapoona Forbes linachemsha. Mimi ningewashauri utajiri wowote wenye mashakamashaka ya namna ulivyopatikana kama huu wahusika wasiwemo kwenye list za Forbes. It doesn't make sense wengine wapambane kuzisaka na wengine wazichote kifisadi kama huyu na still wote wawe judged equally. I know huyu huwa wanatuzugaga eti utajiri umetokana na mumewe mfanyabiashara kitu ambacho ni danganya toto tu.
Meanwhile a reminder that the same Forbes reported the story of Folorunsho Alakija, as the first woman ( and Nigerian too) to surpass Oprah Winfreys billions. So this one is quite confusing did they omit her accidentally or what
Meanwhile a reminder that the same Forbes reported the story of Folorunsho Alakija, as the first woman ( and Nigerian too) to surpass Oprah Winfrey's billions. So this one is quite confusing… did they omit her accidentally or what
Angola ni nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta na almasi. Rais wa Angola amehamisha mali za taifa na kulimbikiza kwa mwanawe kwa kisingizio cha ufanya biashara.
Kila kitu kikubwa cha Angola, hususan pale Luanda, kina mkono wa Binti huyu na familia ya Rais Dos santos.
Wananchi wanalalamika chini chini...lakini hawawezi kupaza sauti yao kwa kuogopa kunyamazishwa.
Luanda ni mji wenye gharama kubwa za maisha kuliko miji yote ya Afrika, na wa pili kwa gharama za kufa mtu hapa duniani, ukizidiwa na Tokyo, na kidogo Geneva.
Kipato cha mwananchi wa kawaida wa Luanda, ni wastani wa dola mbili kwa siku, na utajiri wote huu kulimbikizwa na watu wachache kwa njia za kifisadi si haki hata kidogo.
Huyo Dos Santos akitoka madarakani..mengi yataibuliwa...na hapana shaka mali nyingi za Rais huyu, na majemedari wachache wa Jeshi, zitarudishwa kwenye mikono ya Uma.
Ni kweli kimahesabu aweza kuongoza kwa kuwa na utajiri mwingi kuliko mwanamke yeyote Barani Afrika..lakini kwakuwa ni pesa za dhuluma...hawezi kuwa na fahari nazo...Yupo wapi Rais Muamar Ghadhafi na utajiri wote ule aliokuwa nao?
Thats exactly what I was thinking about when I posted this thread. Huyo Mnaija nasikia ana fweza mbaya!
kuna wana wa president yeyote Africa ambaye sio billionare?