Is there an alternative to a catheter?

Hae Mo-Su

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
473
Reaction score
1,014
Wakuu wa Afya na technology Hivi mpaka sa hivi hakuna Vifaa vingine mbadala vya ile Urinary Catheter Ya kuingiziwa kwenye tundu la Uume?, Mfano iwe lenye lock au hata yaki plaster unayoweza kuivisha kwenye uume ambayo inakua ya size mbali mbali,
Maumivu ya Catheter ni Makali Bwana daah.
Nawasilishaaaaaaaaa
 

Attachments

  • U.C.jpg
    12.4 KB · Views: 43
waambie wakuvishe condom catheter, hua zipo mahospital kibao, pole sana najua mziki wake unaweza hisi mgegedo unapasuka wanavoingiza hiyo catheter
 
waambie wakuvishe condom catheter, hua zipo mahospital kibao, pole sana najua mziki wake unaweza hisi mgegedo unapasuka wanavoingiza hiyo catheter

Ipo vipi hiyo na kwanini wasiwe wanatumia hiyo mpaka mtu aombe
 
unaivaa kam
Ipo vipi hiyo na kwanini wasiwe wanatumia hiyo mpaka mtu aombe
unaivaa kama condom, shida yake ni moja..
ili uvae condom na ikae vizuri inabidi mgegedo uwe umedinda, sasa ukivalishwa wakati mgegedo upo low hua haikai fresh na hua wanazungushia gundi kama cellotape kukaza lkn hua haisaidii sana maana mkojo unaweza mwagika
ukivalishwa kua makini wakati wa kukojoa, hakikisha urine bag haina hewa ili ukikojoa kwenye condom mkojo uwe unavutwa na urine bag
pole sana
 
Binafsi siitumii sasa hivi lakini nilitaka nijue tuu, halafu kuiweka iwe inaingia kama mgegedo limesimama walifanya makisio yakijinga kwanini wasiweke lock flan ya plastic ile inayoweza kukaa kama kwenye mipira ya gesi. ikiwa na size mbali mbali za watoto, size ya kati na watu wazima.
 
Niliumia sana mwaka juzi wakati naandaliwa kuingia Theatre Room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…