'Is there a room for privacy in Marriage/Relationship'?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Is there a room for privacy in Marriage/Relationship'??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SnowBall, Oct 15, 2012.

 1. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wadau najua mko poa..na kwa wale mliopatwa na masahibu au mnaumwa au kuuguliwa poleni sana.........
  .:focus:Kila sehemu kuna haki ya 'faragha'..na hata kwa kulitambua hili utakuta katiba za nchi zinatoa haki ya mtu kutambuliwa faragha yake..meaning kwamba unao uhuru wa jambo ambalo mwenzio hana haki ya kukuingilia..Sasa i was thinking loud kwamba hivi kwenye hii taasisi ya mapendano au ndoa hakunaga hii haki??..Ina maana mpenzi/mwenzi wako anatakiwa ajue hata password yako ya JF??ATM etc??...Manake hapa hamchelewi kuleta habari za mwili mmoja..lol!!!
  Hivi kiukweli yepi yanatakiwa kuwa na unlimited access na yepi yanabaki kuwa yako ya faragha??..Maisha hayatabiriki haya ati!!!

  Please let's be honest!!!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kiukweli hakuna kabisa privacy kwenye ndoa

  sansana ni hiari na kuheshimiana

  otherwise ukishamvulia mtu nguo,umeshaa ondoa privacy

  iwe ya simu au hata lolote lile lingine


  hata haki tu ya 'kutozungumza' inaondoka

  unalazimika kuongea na mtu hata kama 'hujisikii' lol
   
 3. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  there are always things which remain private unless mna co-dependence issues. vitu kama password za benki/atm nk are not for sharing, kila mtu ana zake. watu hawatabiriki mnaweza mkagombana halafu mwenzio akakomba a/c yako so better safe than sorry. just bcoz sikupi PW yangu ya ATM haimaanishi kwamba sikupendi kwa dhati, unless kuna kitu nimekosea. what's the point of sharing 'private information'?
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sidhani kitendo tu cha kumvulia mtu nguo tayari kinakuondolea faragha yako yote..
  How many people do see us naked bana??
  The Boss unaweza kumpa na JF password basi..ryte?..if that is the case...lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  I also still ask the same question Blaine
  Does marriage means unlimited access??..lolest!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Jinsi mtakavyokubaliana ninyi wawili ndio haki yenu, maana jinsi ya kushirikiana sio universal. Ila ni muhimu kuwa na confidant na nani anayefaa kama sio mwenzi wako wa ndoa.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  swali uliloliouliza ni 'privacy'
  na sio ku share all secrets.....lol

  sijasema kwenye ndoa hakuna siri au watu hawafichi siri zao

  nimesema hakuna 'privacy'

  mfano hata naingia jf naweza fanya siri
  lakini siwezi mwambia wife 'ni haki yangu ya privacy kuingia jf'...

  akinikamata lazima aniulize maswali na niyajibu lol

  sina hata haki ya 'kukataa kuulizwa' lol
   
 8. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  You mean it's negotiable...ryte?
  Lakini kitendo cha kutable nini cha kufahamika na nini cha kuficha mbona ni sawa na kusema hakuna faragha tu..Can you do it in practise..mfano iki shika ..iki acha...(hapo utakaposema hiki usiguse haiwezi kuleta curiosity?)
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukiweka saana 'mine' na 'me' kwenye ndoa
  unaanza migogoro isiyo ya lazima

  ndoa maana yake, vyetu....sio lazima ajue kila kitu
  lakini ni muhimu ajue hana limit ya kujua
  ajue ana uhuru wa kuuliza na kujua chochote cha mwenzie
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hapa mkuu unatenganisha 'privacy' na siri kama vitu viwili ambavyo havifanani..ryte?
  Yes kakugundua unaaccount JF ...Je? anayo right ya kukuomba access??...na kama hupendi unamuambiaje??
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hapo nitatafuta nmna ya kumpooza
  hata kama sitampa password lakini
  sitasema 'its my privacy'
  au hayakuhusu....
   
 12. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  there is NO such thing as unlimited access. sio duniani/peponi/motoni or anywhere u can think of.
  najaribu kukupata lakini nashindwa, u mean una 'haki ya kuulizwa' at the same time hakuna 'privacy' so how do u answer kama ni jambo la siri?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ndoa sio kampuni au chama
  ambako sheria ziko wazi
  its complicated...
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Where the most private part is seen, is there any privacy?? Lol.


   
 15. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu wangu The Boss hapa bana kubali kataa kuna privacy inatakiwa iwe maintained..
  Sema kinachogomba ni jinsi gani utamfanya mwenzio haamini kuwa 'conscience' yako iko 'clear'
  But kumbuka mara nyingi maswali ya usiri yanaletwa na hiyo hiyo 'conscience'..kwa nini hataki nijue????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Ndoa gani? Privacy ije kwa authority gani? Maana ndoa zote si sawa.

  Kwa mfano, ndoa yenye pre-nuptial agreement inayo stipulate declaration ya assets and liabilities of each party prior to the marriage inaweza kuondoa aspect fulani ya financial privacy.

  Wakati misingi ya ndoa ya kikristo inamtaka kila mmoja kujikana mwenyewe na wawili kuunganika kuwa mmoja, sasa wawili wakiwa mmoja katika ndoa ya kikristo hakuna privacy yoyote hapo.

  Wakati huo huo unaweza kuwa na ndoa ya kimila kama ya "Coming To America" pale Eddy Murphy anapomwambia mchumba wake kubweka kama mbwa, na mwanamke anabweka, anafanya lolote analoambiwa na mwanamme, mwanamme anaweza kuwa na privacy yote wakati mwanamke hana privacy.

  Kwa hiyo kabla ya kujibu swali lako inabidi tuelezane ndoa gani unayoongelea, kwa maana kila ndoa ina misingi yake ambayo inafanya ndoa zote zisiwe sawa.
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Can u say that again?..lol
  Now ur talking buddy.....
   
 18. epson

  epson JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mi nafikiri even kwa wapendanao walioko ktk ndoa lazima kutakuwa na degree of privacy to some issues especially zile ambazo haziwezi kuwa na athari kubwa katika ndoa e.g password JF
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Itaeleweka zaidi ukiongea kwa mifano...

  Kipi hasa kina deserve kuwa marked confidential na mkeo asiwe na access.

  Ukitaja hapo tuta debate tukijua tuna debate kwenye nini.

  Mimi NK kama NK sina kitu confidential hata kimoja...ila niachopigania ni uhuru...ila sio ule ulopita mipaka. Lakini Uriri...ni BIG NO.

  Otherwise majibu mengi yatakuwa yametokana na mtu alivtyotafsiri slwali hivyo lazima tutofautiane.


   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ha haaaaa
  mjadala ume take another direction

  naafikiri tunazungumzia 'ndoa za kiafrika'
  ambazo naweza kukubali
  'mwanaume ana privacy'
  na mwanamke hana iliyo wazi lol
   
Loading...