Is tanzania a peaceful country? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is tanzania a peaceful country?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Jan 7, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wandugu natafakari kama TZ inastahili kuitwa a peaceful country kama ilivyokuwa hapo awali. Kwanini tunaiita nchi ya amani wakati damu za watu wasio na hatia ikiendelea kumwagika?tumesikia Arusha watu wa tatu wamefariki dunia ila taarifa zisizo rasmi ni zaidi ya watu saba mpaka sasa. Haya tumeshuhudia Arusha, mwishoni mwa mwaka wenzetu wa CUF walipata kipigo toka kwa polisi waliopojaribu kutumia haki yao ya kikatiba kuaandamana.

  Ukiachana na hayo bado tunaushahidi na experience nyingi za watu kumwaga damu but sijawahi sikia viongozi wakitueleza kuwa sisi sio nchi ya amani tena au kwa kuwa ni CCM hawajawahi pata kipigo toka polisi?au kwakuwa wafuasi na wanachama wao hawaja onja umauti ulisababishwa na polisi?

  Naomba kuwasilisha
   
Loading...