Republic by name, Monarch by actions.Slowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania.
The trend is that, now the other two branches (Legislative and Judicial) are bowing their heads to the Emperor.
Hata kama hujafanya kosa lolote, ketendo cha kumsema Emperor ni “MSHAMBA” ni kosa la jinai? tena kwenye mazungumzo private, ni lazima uombe msamaha na msamaha wako utangwazwe mbele ya public. Kwa vijana wa mjini neno “Mshamba” ni tusi kweli?
Kutoka kwenye Oxford Living Dictionaries…..
Ufafanuzi wa mshamba katika Kiswahili
mshamba
nominoPlural washamba
mtu anayekaa shambani.
- 1
tamko la kuonyesha mtu asiye mkazi wa mjini wala asiyejua mazingira ya kimji.
- 2
Matamshi
mshamba
/m∫amba/
Na mquote Paskali hapa……..
“Nikamtolea mfano wa January Makamba, kwenye ile sauti kwa mlioisikia, ametukana wapi?. Kama waziri mzima, mbunge mzima, amekosewa kwa kudukuliwa na hajatukana chochote lakini kutumbuliwa na kuomba msamaha, what about him?. Nimemshauri, na huu ni ushauri kwa wana jf wote wenye ndugu watuhumiwa, washaurini ndugu zenu waandike barua za kuomba msamaha hata kama hawajakosa au wamesingiziwa, waombe tuu msamaha na kuahidi kulipa, kwani pesa ni nini compared, tutachangishana kulipa, barua iandikwe, msamaha uombwe, kwa sababu usipoandika barua, kutake advantage ya msamaha huu, kwa hoja ya kutafuta haki, huwezi kujua itachukua muda gani kuipata hiyo haki, nikitolea mfano yule wakili Medium Mwale wa Arusha, amekaa mahabusu miaka 8 hadi uchunguzi kukamilika, kesi ikasikilizwa kwa siku moja tuu, akakiri makosa na kuhukumiwa kulipa faini, akalipa, akatoka, unaweza kulinganisha angekubali kosa, hiyo miaka 8 gerezani angefanya mambo mangapi tena fani yenyewe ni uwakili?.”
Swali tulipigania Uhuru wetu kutoka kwa wakoloni ili tupambane na maadui watatu (Ujinga, Umasikini na Marathi) or to create an Emperor?
not only monarchy gvt but Absolute MonarchySlowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania.

Kwa nini iwe akamwambie baba yake!?Nenda kamwambia Baba ako mshamba uone kama hizo maana ulizoeleza zitatumika.
Ili kuprove aliyoandika kama yako sahihi.Kwa nini iwe akamwambie baba yake!?
Huo usahihi unapimwa kwa baba yake tu? Unakumbuka Rais alipokuwa Tanga alisema kuwa ana Mawaziri wapumbavu kwenye Baraza lake la Mawaziri? Naye utamwambia akamwambie baba yake mpumbavu?Ili kuprove aliyoandika kama yako sahihi.
Now our beloved country is neither a Monarchy nor a Republic nor an Empire but Ushirombo Chiefdom ruled by incompetent Chief over Chieftains.Slowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania.
The trend is that, now the other two branches (Legislative and Judicial) are bowing their heads to the Emperor.
Hata kama hujafanya kosa lolote, ketendo cha kumsema Emperor ni “MSHAMBA” ni kosa la jinai? tena kwenye mazungumzo private, ni lazima uombe msamaha na msamaha wako utangwazwe mbele ya public. Kwa vijana wa mjini neno “Mshamba” ni tusi kweli?
Kutoka kwenye Oxford Living Dictionaries…..
Ufafanuzi wa mshamba katika Kiswahili
mshamba
nominoPlural washamba
mtu anayekaa shambani.
- 1
tamko la kuonyesha mtu asiye mkazi wa mjini wala asiyejua mazingira ya kimji.
- 2
Matamshi
mshamba
/m∫amba/
Na mquote Paskali hapa……..
“Nikamtolea mfano wa January Makamba, kwenye ile sauti kwa mlioisikia, ametukana wapi?. Kama waziri mzima, mbunge mzima, amekosewa kwa kudukuliwa na hajatukana chochote lakini kutumbuliwa na kuomba msamaha, what about him?. Nimemshauri, na huu ni ushauri kwa wana jf wote wenye ndugu watuhumiwa, washaurini ndugu zenu waandike barua za kuomba msamaha hata kama hawajakosa au wamesingiziwa, waombe tuu msamaha na kuahidi kulipa, kwani pesa ni nini compared, tutachangishana kulipa, barua iandikwe, msamaha uombwe, kwa sababu usipoandika barua, kutake advantage ya msamaha huu, kwa hoja ya kutafuta haki, huwezi kujua itachukua muda gani kuipata hiyo haki, nikitolea mfano yule wakili Medium Mwale wa Arusha, amekaa mahabusu miaka 8 hadi uchunguzi kukamilika, kesi ikasikilizwa kwa siku moja tuu, akakiri makosa na kuhukumiwa kulipa faini, akalipa, akatoka, unaweza kulinganisha angekubali kosa, hiyo miaka 8 gerezani angefanya mambo mangapi tena fani yenyewe ni uwakili?.”
Swali tulipigania Uhuru wetu kutoka kwa wakoloni ili tupambane na maadui watatu (Ujinga, Umasikini na Marathi) or to create an Emperor?
Aliwataja majina?Huo usahihi unapimwa kwa baba yake tu? Unakumbuka Rais alipokuwa Tanga alisema kuwa ana Mawaziri wapumbavu kwenye Baraza lake la Mawaziri? Naye utamwambia akamwambie baba yake mpumbavu?
Wewe mjanja kwanini hujawa Rais?Ukweli ni kwamba Rais wetu ni mshamba na anapenda kutukuzwa japo anajifanya mucha Mungu.
Sababu nchi imejaa washamba kama weweWewe mjanja kwanini hujawa Rais?
Kwani hii nchi wengi ni wajanja au washamba? Kura nyingi zinatoka wapi? Kwa washamba au wajanja?Hivi iliwezekanaje watu wa mjini (wasio washamba) wakakubali kutawaliwa na "mshamba"? Naona huyu "mshamba" ana akili kuliko "wajanja". Tuliosoma "simultanias ekuasion", jibu pekee ni kuwa "wajanja ni washamba na wapumbavu zaidi"
Dogo kama hujui, unaweza ukamwabia mtu, 'wewe mstaarabu', akakupeleka mahakamani umemdhalilisha na akashinda.Slowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania.