Is she responsible?????


msome FP hapo juu...

Kiufupi mkeo mwenyewe hajitambui.....

Anajua wajibu wake kama mama na mshika jahazi wa familia?

Hata kama umelala kwani lazima akae nae? Si amwambie jirani aondoke yupo busy kumhudumia mume? Then afunge mlango ajiangalizie hata movie....

Kupika amepika kweli? Au kamuachia hg yeye anapiga porojo?

Hapo kazi unayo ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
amefundwa kweli mkeo?naamanisha unyagoni/mkolen amekwenda?mrudishe kwao akajifundishwe njinsi ya kuishi na mume,tafuta wimbo wa kimasomaso wa marehemu issa matona una ujumbe kwake huyo mkeo.kuna verse inasema wakija mashoga zako sema nao dirishan sa ye hadi sebulen anakaribisha adui mbona mambooooo!
 

Wote hao akili zao zinafanana. dili na mkeo achana na mke wa mwenzio! mtafutie cha kufanya mke wako! Manake wanawake wakiwa hawana cha kufanya umbea ni 24/7
 
umeona eeeh shosti......!
mimi simlaumu kabisa huyo jirani. kosa ni la mama mwenye nyumba, ndo hasa ambaye si responsible.
hawa watu yaani hawana hata majukumu hapo nyumbani, hawana mtoto.......halafu mama anaamka asubuhi asubuhi kuwahi umbea na jirani ilhali mumewe kalala. usafi wa nyumba kwani jioni haufanyiki? kuandaa breakfast kunatumia muda gani? kama mume anaamka saa 5 kwa nini niandae bfast saa 2 asubuhi?
kwani kubaki kitandani na mwenzio ni lazima uwe umelala usingizi? au yeye hapendi kukupa kampani ukiwa umelala?
mmeshaanza kuishi maisha ya wakongwe wa ndoa ilhali ndo kwanza mnaanza, shauri yenu
 
Hivi kweli mwanamke mwenye akili timamu huwa anakosa shughuli za kufanya nyumbani kwake??
 
Mtafutie mkeo kibarua inaonekana hana kazi ya kumkip bizy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…