Nashukuru sana, kumpenda kweli nilimpenda sana wakati ule, lakini kama nilivyo andika mwanzo dini ikawa kikwazo na tukafikia uamuzi kwamba kilamtu aangalie ustaarabu wake maana mvua zinakwenda! nilipo mwambia nimepata mwingine hapo ndio somo likaanza kubadilikaUna elekea na wewe kumuacha pia hutaki bado kisebu sebu na kiroho kipapo, mueleze ukweli kama ulivyo jieleza hapo juu kwanza wewe sio kuadi
wakumtafutia mwanamme mwengine sababu wewe ni mwanamme ulokamilika, na dini ndio kikwazo na wewe umeshafikia umri labda unataka kuoa,na umeshapata mwengine ambae dini yenu inaruhusu kuowana mueleze kwa hekma atakuelewa na uwe mwenye msimamo,sikwambi nirahisi kumueleza lakini ukiwa kama mwanamme nilazima uwe na mamuzi japo nimagumu la sivyo hata huyo ulonae pia hamtakua na raha as long as hujafanya mamuzi kwa huyo dada.
Tata, tulisha ongeanae saana kabla, na swala la ndoa ya bomani wote hatukuwa tayari ilikuwa lazima mmoja a sacrifice dini yake ili tuwe pamoja kitu ambacho kilishindikana kupata muafakaAre you OK with her condition that you look for a replacement? What did you say when she first introduced the condition? Umeuliza ni ju=insi gani utaachana naye: je ina maana hamjaachana au bado unahisia za mapenzi na huyo bibie? Mimi nadhani huyu mwanamama ameshahisi kuwa wewe bado unamhitaji na ndio maana amekupa mtihani wa kumtafutia mtu mwingine badala yako. Anadhani hiyo inaweza kuwa gia nzuri ya kukufanya ubadilishe mawazo ya kumuacha kwa sababu za wivu.

X wangu amegeuka hataki tuachane,

nimemuonyesha msimamo wangu,

sasa amekuja na sharti/ombi jipya.

Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.

I thought she was jocking but dud, she keep on calling,

nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all

kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili
DA, habari lakini, tulikubaliana kwamba sababu imeshindikana/hakuna furure kati yetu, basi kama mmojawetu akipata mwingine a move on with her life na tupeane taarifa. nikapata nika mwambia..... hapo ndio ishu ilipoanzia mydeaElia bana eti hataki muachane wakati wewe tayari una mwingine!
Unajua umenichanganya nakuona kuwa na wewe unamatatizo
Inakuwaje una mwingine halafu EX hataki muachane
Ina maana unaendelea na EX wako wakati huo huo
Una mwingine!!
Im so confused!!!!!
Ndio Gaga, hilo la dini tu, angekubali kubadili ningekuwa labda nisha gawa kadi au ndio nagawa au msha kula pilauElia na nyie mmekubali hili la dini liwashike kweli? mconnect huku kwenye love cnct maybe anaweza pata na yeye kama wewe ulivopata,kwani wewe mlivoachana uliibua wapi kitu kipya?
Ok, kaka nadhani nitackeck nae kama atakubali ni post thread na namba yake kule kwenye kutafuta wachumba halafu achague mwenyewe

mimi nimejitolea kumchukua niweke mimi kaka mi sina noma wala nini na kuhusu dini haina shaka
Nashukuru sana, kumpenda kweli nilimpenda sana wakati ule, lakini kama nilivyo andika mwanzo dini ikawa kikwazo na tukafikia uamuzi kwamba kilamtu aangalie ustaarabu wake maana mvua zinakwenda! nilipo mwambia nimepata mwingine hapo ndio somo likaanza kubadilika
X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.
NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili
Dini inakuwaje kikwazo??? Unataka kuoa???
Acha uongo. Kama unampenda kweli kusingekuwa na tatizo la kubadilisha dini. Hapa unaonyesha unapenda dini yako kuliko yeye. After all, kwani wakati mnaanza hayo mapenzi suala la dini hakuliona? Ina maana dini yako inakuruhusu kuwa na urafiki wa kimapenzi na mwanamke aliye na dini nyingine, lakini ikifika kuoa lazima umtafute wa dini yako? Kwamba dini yako inaruhusu kuchakachua wanawake wa dini nyingine so long hautawaoa? Kama kweli unaipenda na kuifuata dini yako, then usingechakachua wanawake tena wa dini nyingine kabla ya kuoa. Na kama wewe ni mkristu ukaungame kwa kuvunja amri ya sita.
X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.
NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili
Ukimpenda mtu kwa dhati, unakuwa radhi na mambo mengi, kwani si mngebaki kila mtu na dini yake? kwani binadamu kufall in love si huwa inahappen tu, kwa hiyo ilibidi uende kanisani kwenu ndio utafute partner mwingine huko?Ndio Gaga, hilo la dini tu, angekubali kubadili ningekuwa labda nisha gawa kadi au ndio nagawa au msha kula pilau
After all mimi ni mfuasi na sio kiongozi wa dini, hivi ww kuchakachua unatafuta dini yako? isitoshe urafiki ndio huzaa ndoaAcha uongo. Kama unampenda kweli kusingekuwa na tatizo la kubadilisha dini. Hapa unaonyesha unapenda dini yako kuliko yeye. After all, kwani wakati mnaanza hayo mapenzi suala la dini hakuliona? Ina maana dini yako inakuruhusu kuwa na urafiki wa kimapenzi na mwanamke aliye na dini nyingine, lakini ikifika kuoa lazima umtafute wa dini yako? Kwamba dini yako inaruhusu kuchakachua wanawake wa dini nyingine so long hautawaoa? Kama kweli unaipenda na kuifuata dini yako, then usingechakachua wanawake tena wa dini nyingine kabla ya kuoa. Na kama wewe ni mkristu ukaungame kwa kuvunja amri ya sita.
Ni habari nzuri hasa ikiwa na good ending lakini ni bahati maana familia nyingine ni noma omba balaa lisitokee. kamaatleast familia moja ikawakubali okey, sasa kilamtu alikuwa na msimamo wake an jamii yakehukumpenda kwa dhati wewe naona!!!!!! haaah!
kuna mfanyakazi mwenzangu alioa muislamu na kabila tofauti na lake, akatengwa na ukoo kwamba kaoa chasaka na yule demu pia katengwa kwamba kaolewa na kafri, lkn kwa sababu wao walipenda kwa dhati waliendelea kuishi tu vizuri na wakafunga ndoa ya kiserikali maisha yakaendelea wakazaa na watoto wao, hakuna aliemlazimisha mwenzie kubali dini, wote ni wafanyakazi na ni msaada mkubwa kwa wazazi wao kiuchumi kila mmoja kwa nafasi yake na kwasababu wana hekima hawakusitisha huduma makwao. Baada ya miaka 10 ya ndoa yao, mke bila kulazimishwa alibadili dini kumfuta dini ya mumewe na wakabariki ndoa yao kidini, maisha yanaendelea raha mustarehe, wazazi wao walishasahau zile hasira za mwazo wanafurahia tu kulea wajukuu.