ingekuwa pombe zinaruhusiwa kazini, ofisi nyingi zingekuwa na grocery.............
Hapa kwetu huyu mama wa kizungu ana ka bar ofisin kwake aisee...basi akikuita ofisini kwake au kama unampelekea kazi akiifurahia basi anakuuliza unakunywa nini...hehehe sisi wengine huwa tunaona noma lakini kuna haka kakijana ka sikuhizi yaani haipiti siku mbili lazima aingie huko kwa bosi anajifanya ana proposal anamuonyesha..kakitoka huko kananuka pombe kweli...tumeshamshtukia basi akisimama tu na makaratasi watu wote ofisini mbavu hatuna...