Is sex addiction real?

ingekuwa pombe zinaruhusiwa kazini, ofisi nyingi zingekuwa na grocery.............

Hapa kwetu huyu mama wa kizungu ana ka bar ofisin kwake aisee...basi akikuita ofisini kwake au kama unampelekea kazi akiifurahia basi anakuuliza unakunywa nini...hehehe sisi wengine huwa tunaona noma lakini kuna haka kakijana ka sikuhizi yaani haipiti siku mbili lazima aingie huko kwa bosi anajifanya ana proposal anamuonyesha..kakitoka huko kananuka pombe kweli...tumeshamshtukia basi akisimama tu na makaratasi watu wote ofisini mbavu hatuna...
 
mungu niepushie mbali huu ulevi
mi natamani kiu yangu iwe mara moja kwa mwaka

Mmmh Smile,sasa kama mimi ndio addicted na naenjoy kugonoka na labda sinywi pombe,nitakuwa kero kwako ilihali mie ndio enjoymant yangu?
 
Hehehe Smile..sasa na shemeji si atakukimbia.....alafu kama avatar yeko inavyojieleza hapo ni ngumu sana yeye kukuvumilia.
bahati nzuri na yeye hapendi k huwa tunalala hata wiki mbili bila kufanya kitu
 
wapo, kuna mwanaume namjua, anaweza fanya asubuhi mchana jioni, kwenye gari kichochoroni na yoyote yule hachagui habagui....mwanzoni tulimshangaa baadae tukaja hundua ni ugonjwa....yaani addicted

BADILI TABIA lakini kuwa addicted hakujawa proven clinincally kwamba ni ugonjwa wala hatuwezi sema kwamba ni unhealthy or it is wrong haswa kama anafanya na mkewe kwa mtazamo wa kidini au anafanya na mtu ambae hayuko attached na mtu mwingine kwa mtazamo wa kawaida.Je tunaweza sema kweli ni ugonjwa au tabia mbaya?
 
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)

Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)

Duh lara1,you are my DESIRABLE jamani,you are more or less perfect much to this thread.Sasa too much of it ni unhealthy or wrong kwa mtazamo wowote ule?
 
kama natendewa haki kiukweli wacheni tu iwe ni addiction!why not!
ah bana weee maisha yenyewe ndo haya haya !niazne tu kujinyima nyima kisa ntaonekana niko addicted!
wengie kazi hazifanyiki vizuri jamani makazini huku kama mpyari haukuwa wakueleweka usiku oh!
sijui wengine lakini kusema ukweli ule wa moyo kabisa mimi ile habari na hubby chubby naipenda i see!
NISAHAULIWE
 
Kuna
  • Hyper
  • Normal
  • Hypo
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.

BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL
 
wapo, kuna mwanaume namjua, anaweza fanya asubuhi mchana jioni, kwenye gari kichochoroni na yoyote yule hachagui habagui....mwanzoni tulimshangaa baadae tukaja hundua ni ugonjwa....yaani addicted
.Duh !kwa hiyo na mm mgonjwa? lakini napiga shoo kwa my wife tu .ila some time anachoka sana.
 
Je wakikutana Hyper kwa hyper inakuwaje?
Kuna
  • Hyper
  • Normal
  • Hypo
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.

BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL
 
Duh lara1,you are my DESIRABLE jamani,you are more or less perfect much to this thread.Sasa too much of it ni unhealthy or wrong kwa mtazamo wowote ule?

Nasindwa kukujibu directly coz KUWA TOO MUCH AU TOO LITTLE NI SUBJECTIVE TO CONTEXT NA PATNER INVOLVED!!!!!!!!!!! Kuna watu ile roho yako inapenda na imewatunuku so hata mara 100 unaona haitoshiii, U CANT JST GET ENOUGH OF IT FROM THEM!!!!! lol! The more you go, the deeper you wanna get!!!! Ila kuna watu ndo vile tena kufoulisha basi hata 2 unaona waonewaaa na ni vingi sanaaaa. U CANT WAIT FOR THEM TO FINISH!!!!!!!! As long as you are enjoying ADDICTION IS GOOD COZ MOST OF YA LIFE MNAITUMIA KUUNGANA KUWA MWILI MMOJA!!!!!!!!!
 
Kuna
  • Hyper
  • Normal
  • Hypo
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.

BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL

sasa mama mchungaji mwenzangu kimfano,yani kimfano watu mkiwa hyper wote je?inakuwaje ahahhahhahahhah mi nimeuliza tu jamani!
 
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)
shosti hapo kwenye kutafuta stimu umenena!
 
Last edited by a moderator:
Kuna
  • Hyper
  • Normal
  • Hypo
Kwenye normal ndipo wengi wetu tunapoangukia, lakini kuna hizo hyper na hypo ambazo zote ni kasheshe (according to normal people) na bora hao wacouple na normal at least maisha yanaweza kwenda kwa kuyasukuma; ila akutane hyper na hypo nina uhakika ndoa itakuwa mashakani.

BTW kaka, babu yetu hajakurithisha hiyo addiction; maana ni bora wifi yetu mtarajiwa ajue ili ajue anachoenda kupambana nacho! LOL

Sasa dada Kaunga hii combination kwa vyovyote Hyper na Hyper ndio bora zaidi lakini katika hali ya kawaida hii tunaweza ita tabia,ugonjwa au vyovyote vile,je ni mbaya?

Mmmh dadaangu si unajua wazee wa kinyamwezi walikuwa wanakula "MAGANDO" ndio maana,sasa sisi generation yetu hii ya chips na burgers ndio maana tunatafuta na "boosters" ili kuongeza nguvu.
 
kumbe na we mawazo yako yamelingana na mimi!hahahahahhahahhahaha muhimu kujua ujue!oh

I think, nimeijibu kuwa mkikutana hyper na hyper, that is your normal thing. So enjoying kile mama na babaye zenu wamewapa. LOL
 
labda niwaeleze kisa kimoja kama ifuatavyo:

Nakumbuka mwaka tu ilikuwa ni 1992 maeneo ya keko machungwa ndipo nilipo kuwa naishi kipindi hicho.kuna jamaa nilikuwa namuita baba mdogo kwani my best friend alikuwa ni baba mdo wake .huyu jamaa sasa naweza kumuita hyper sex man kwa sababu karibu wanawake wote wa mtaani walikuwa wanamkimbia,sababu alikuwa akichukua mwanamke anajifungia nae kuanzia asubuhi mpaka usiku kama saa nne hivi.ukiona ametoka yy au mwenzake ni chooni au kuagiza chakula..

Sasa kuna siku moja kama kawaida yake jamaa akaimport mwanamke huyu alikuwa mgeni hapo mtaani ,akajifungia nae ndani kama kawaida.Mimi na best wangu kama kawaida tukawa tunacheza karata nje tayari kwa maagizo yoyote kama soda au chips.

Majira ya saa kumi hivi tukasikia jamaa anapiga kelele kali sana ,mamaaa nakufa (mwanaume) tukashangaa kulikoni maana tulitegemea sauti ya kike.Baada ya muda muda mwanamke akatoka nje akaondoka kimya kimya .sisi tukaingia ndani na kumkuta baba mdogo hata kuinua mkono hawezi amelala tu akaagiza kaka ake aitwe haraka sana .

Kaka ake alipofika wakazungumza wenyewe sisi hatukusikia zaidi ya wanawake watakuuwa mdogo wangu ,leo umekutana na kiboko yako.

Jamaa akabebwa akapelekwa bafuni na baadae wakaenda hospitali kilichotokea huko hatukujua mpaka leo.Kwa mtazamo wangu alikutana na hyper mwenzake.
 
Sasa dada Kaunga hii combination kwa vyovyote Hyper na Hyper ndio bora zaidi lakini katika hali ya kawaida hii tunaweza ita tabia,ugonjwa au vyovyote vile,je ni mbaya?

Mmmh dadaangu si unajua wazee wa kinyamwezi walikuwa wanakula "MAGANDO" ndio maana,sasa sisi generation yetu hii ya chips na burgers ndio maana tunatafuta na "boosters" ili kuongeza nguvu.

Siwezi sema ndio bora zaidi, kwa mtazamo wangu normal kwa normal ni bora zaidi.

Hapo kwenye italic, mimi siwezi ita ni ugonjwa au tabia mbaya; ni maumbile tu. Ni bora tu wakutane wenyewe kwa wenyewe!
 
Back
Top Bottom