Is PHP a yesterday's story?, Should beginners learn it?

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
918
1,000
Kaka tupo wengi sana tunao hitaji nisaidie contact zako kaka
mkuu nimewatengenezea website ambamo nitakuwa naweka kozi mbalimbali za coding, Na pia hio website ina forum ambapo kila member ataweza kuuliza maswali n mm pamoja na coders wenzagu tutajibu. Vile vile nimetengeneza na whatsapp group kwa ajili ya kupeana updates kila ninapoupdate kozi kwa sababu ndipo nimeanza tu na kozi chache lakini nyingi zipo naziandaa na kuziweka katika lugha nyepesi. Natumia kiswahili kufundishia ili iwe rahisi kwa watu kuelewa.

Lakini itabidi members walipie angalau hela ya vocha coz na sisi tuna kazi zetu ila tunafundisha coding kwa sababu tunapenda kufanya watu wengi wajue coding. Maelezo zaidi utayakute kwenye website yetu.

Register hapa tech255.com uanze kujifunza n kuuliza maswali now

Pia jiunge na group la whatsapp kupitia hii link Invitation à un groupe WhatsApp

talentbrain King snr Mahmetkid
 
King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,121
2,000

Pamoja mkuu ngoja niweke mambo Sawa J3 tuanze darasa huko
 
Link inagoma kujoin group
Pia tech255.com inafnguka Tu picha haioneshi content ndani
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
918
1,000
Link inagoma kujoin group
Pia tech255.com inafnguka Tu picha haioneshi content ndani
Link ya group nimeidisable coz watu wamejiunga wakaanza tena kumisuse group.

Kuhusu tech255 kufunguka ni kwamba browser yako haisapoti javascript(nadhan unatumia mini browsers kama opera mini). So jaribu kufungua kwenye browser nyingine inayosupport javascript kama vle chrome, phx au firefox.

Ukishalipia ndipo utaungwa kwenye group maalum la waliolipia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom