Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,582
Obama amerithi matatizo makubwa sana kuliko Rais yeyote yule wa Marekani tangu ipate uhuru 1776. Ni matatizo ambayo hawezi kabisa kuyamaliza kwa kipindi cha miaka minne, lakini Wamarekani ikifika 2012 watauliza, "What have you done to me lately?" na wengi wao jibu la swali hili litakuwa NOTHING! kwa hiyo inawezekana kabisa akawa wa awamu moja labda miracle itokee na uchumi kuanza kupaa kwa speed ambayo si ya kawaida na hivyo kumuwezesha tena kurudi WH.
Na Obama ndio anazidisha spending na hii bajeti yake mpya!!