Is my wife dating someone else?

B haiwezi kuwa kweli, A inaweza kuwa kweli na C inaweza kuwa kweli au zaidi ya hapo kwa maana kwamba ni mtu wake sio kwamba wameanza katika miezi mitatu ya kutokuelewana. Ushauri wangu: kama kuna uwezekano, mtafute mume wa huyo rafiki wa mkeo umwulize kama ni kweli alinunuliwa hayo makitu, kumbuka kuwa vivyo hivyo ulivyoambiwa ipo siku huyo mume naye ataambiwa kama hivyo siku akifuma mambo mchanyato kwa upande wake.
 
Hoja yako ya msingi ipo katika maelezo ya msingi uliyoyaandika kwa lugha ya kiingereza hapo mwishoni.

Tambua siyo kila mtu anaelewa hiyo lugha kwa hiyo huenda ukakosa ushauri ambao ungekusaidia kutoka kwa wasiojua kiingereza.
inaonekana huyo ni mkenya ni kumvumilia tuu..
 
Dont buy taht shit at all she is dating someone else bro.Nothing of that kind happen by chance.My advice is dont rush to conclusions that can impact your family .Just take it with you and keep on investigate for sometime and get accurate evidence and come up with desicions.
 
ndio uache kupekua hand bags za mkeo..... ha ha ha ha na wewe nunua pichu za mwanamke weka kwa mfuko chumban make sure anaziona af zipotezee uone jibu lake....
Hahahahahahhahaa..... Kazi ipo
 
Wewe unajitambua..hawa viumbe wanaitwa wanawake hawatakusumbua mkuu... and thats how we do....ukiona mtu anakuja humu mitandaoni kulialia kuhusu mapenzi ujue either kasoma academy or...kalelewa na mama yake.
 
We haiwesi amini bibi yako?? Kuweli iyo iko mbaya sana. Amini bibi yako kuwa hiyo boxer ni ya rafiki yake na sio kitu kingine chochote. Utakaa salama kwa sababu hata ukumwona, sasa, "may be, may be" za nini hapo? Hiyo iko sumu ya mapenzi
 
Huyo rafiki ya mke wako ni jini anaweka na kuchukua boxer bila kuonekana......majibu yake utata mtupu A & C yawezekana
 
Hugo bibi yako aise ana kijamaa pembeni wewe endelea kuchunguza utakuja jiridhisha
 
She is definitely seeing someone comrade!! Pole sana
 
hatkama angekua bkra..could be possible aswell. wngp wameolewa na machngwa na ndoa zao wamshndwa kuzchnga.
Hahaha! Mistari hii ilikuwa ya Sumalee bila shaka wewe utakuwa Nasmalee? Umenifurahisha...
 
A na C ndiyo majibu! Ila ukitaka amani ya moyo basi jibu ni B kaka...
 
Ulikua na ugomvi nae ndani ya miez3,,na hukutaka suluhisho xo baada ya yeye kupata amani na furaha huko nje ndo akaona bora muyamalize kwa kua yupo happy,,,jiongeze mkuu.lakini pia usipende kushika pochi yake mbona cc mnatukatazaga kushika wallet zenu??n way pole mana km kashapata sponsor umeula wa chuya
 
Mkuu siku ingine usipekue sana utakufa na presha
 
Na ukiona mke anagombana na mumewe ujue hana sponsor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…