Is my wife dating someone else?

Kalishana chin na bibi yako mwambie kwamba huna iman naye kuhusu hizo boxer then mtishie ikiwa anacheat achague moja aidha kukaa na ww. au kwenda kwa huyo bwana kisha msamehe maisha yaendelee
 
ishakuwa noma mazee,,, hiyo bibi yako inakung'utwa na bwana ingine, tena huwa anaimbia hiyo bwana ingine ya kuwa wewe kazi yako ni kuchungulia kwa bag yake....mimi niko nakushauri tafutanga bibi ingine motomoto.....hapana kuwa na hasira na bibi yako wakati babu iko nakulaga..
 
Kalishana chin na bibi yako mwambie kwamba huna iman naye kuhusu hizo boxer then mtishie ikiwa anacheat achague moja aidha kukaa na ww. au kwenda kwa huyo bwana kisha msamehe maisha yaendelee
amtishie tena,,,,,ni kukosa uelewa kwa kweli na boxer (5pcs parked) brand new.....sheet,,,kwanza amechelewa na ushahidi umeanza kupotea.......
 
tupa kuleeee......na kufunga huo mjadala.......haiwezekani kabisa.........mwanamke anatishiwa??? sijawahi ona mimi..
huyo ni mke wake wa ndoa si hawala lazima busara na uvumilivu uwepo si rahis kuachana kama unavyodhan
 
YES
 
huyo ni mke wake wa ndoa si hawala lazima busara na uvumilivu uwepo si rahis kuachana kama unavyodhan
ukiwa pembeni unaweza kusema kirahisi rahisi tuuu,,,,,,hata mke wa ndoano kwa upuuzi huo,,,asonge mbele,, hakuna mjadala hapo,,, huyo anazini nje ya ndoa....hana lake.....
 
Piga chini huo upuuzi, utetezi wa kitoto kabisa manina zake
 
Weka bikini kwa begi yako kisha rudi nayo kwa nyumba then hakikisha bibi yako kaona kisha ondoka na begi na hamisha hizo bikini.

Akiuliza mpatie the same answer.
 
Tumia lugha moja kuandika. Huo unaofanya wewe ni uchafuzi wa lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…