How are you guys? hope you are doing well
Friends, kwa hizi miezi tatu mm na bibi yangu tumekua na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore
Two weeks ago, siku moja sikua na pesa hata a single coin, nika check kwa hand bag ya wife yangu niweze chomoa kile nitapata, sometimes kama Sina pesa mm huangalia bag ya wife kama Kuna pesa let say kama Kuna elfu kumi ziko kumi, mm huchomoa elfu kumi 3 ya kuanzia siku, then nikikuja jioni nakuta amefura, narudisha elfu kumi sita, two times ya ile nilichukua
So siku hiyo nilikua nikitaka kuchukua pesa kwa bag yake kama nitapata ziko, surprisingly, nikaona suruali ile wababa tunavaaga ndani wanaita boxer, ziko tano ziko packed pamoja mpya kabisa, anyway i said to myself may be amenunua zawadi yangu pengine Jana alisaau kunipatia, so atanipatia jioni, unfortunately vile naongea leo ni two weeks tangu siku hiyo sijapewa hizo boxer, na haziko tena kwa bag hiyo or anywere in our room
So i decided to ask her about the boxers, my question caught her by surprise, and she had no immediate answer, akaniuliza uliona boxer kwa bag yangu? Nikaondoka bila kujibu ile swali
Baadae she called me to say, ooh may be rafiki yangu aliweka hizo boxers kwa bag yangu bila kuniambia na kesho yake akachukua, she was referring to a friend huko kwa vicoba,
Jioni rafiki yake akanipigia simu, i think on my wife's instructions, akisema ya kwamba '' shemeji ni mm niliweka hizo boxers kwa bag ya bibi yako nilikua napelekea husband yangu gift
i didn't buy that lie, vile nafikiri ni kwamba wamepanga hiyo uongo,
Now kindly advise me
(a) Could it be that my wife was taking those boxers to her lover as gift?
(b) is it possible that my wife's friend could put the boxers in the bag and then remove them the next day without my wife's knowledge?
(c) Do you think my wife engaged herself in an illicit affair during the three months of fighting?
My chest is burning with anger, Pls advise accordingly
Yours faithfully
Hahaha na matone ya damu kwa mbali....kashaliwa.Dah! manyoya yalee.,
Marriage is an endless cold war that is not btn USA and USSR, but btn wife and husband. Mkuu hivi hapo kuna kipingamizi kwamba hajatunguliwa kweli....Anyway sometimes marriage does not need logic for its survival.How are you guys? hope you are doing well
Friends, kwa hizi miezi tatu mm na bibi yangu tumekua na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore
Two weeks ago, siku moja sikua na pesa hata a single coin, nika check kwa hand bag ya wife yangu niweze chomoa kile nitapata, sometimes kama Sina pesa mm huangalia bag ya wife kama Kuna pesa let say kama Kuna elfu kumi ziko kumi, mm huchomoa elfu kumi 3 ya kuanzia siku, then nikikuja jioni nakuta amefura, narudisha elfu kumi sita, two times ya ile nilichukua
So siku hiyo nilikua nikitaka kuchukua pesa kwa bag yake kama nitapata ziko, surprisingly, nikaona suruali ile wababa tunavaaga ndani wanaita boxer, ziko tano ziko packed pamoja mpya kabisa, anyway i said to myself may be amenunua zawadi yangu pengine Jana alisaau kunipatia, so atanipatia jioni, unfortunately vile naongea leo ni two weeks tangu siku hiyo sijapewa hizo boxer, na haziko tena kwa bag hiyo or anywere in our room
So i decided to ask her about the boxers, my question caught her by surprise, and she had no immediate answer, akaniuliza uliona boxer kwa bag yangu? Nikaondoka bila kujibu ile swali
Baadae she called me to say, ooh may be rafiki yangu aliweka hizo boxers kwa bag yangu bila kuniambia na kesho yake akachukua, she was referring to a friend huko kwa vicoba,
Jioni rafiki yake akanipigia simu, i think on my wife's instructions, akisema ya kwamba '' shemeji ni mm niliweka hizo boxers kwa bag ya bibi yako nilikua napelekea husband yangu gift
i didn't buy that lie, vile nafikiri ni kwamba wamepanga hiyo uongo,
Now kindly advise me
(a) Could it be that my wife was taking those boxers to her lover as gift?
(b) is it possible that my wife's friend could put the boxers in the bag and then remove them the next day without my wife's knowledge?
(c) Do you think my wife engaged herself in an illicit affair during the three months of fighting?
My chest is burning with anger, Pls advise accordingly
Yours faithfully
Kwa hiyo unafundisha ujanja wa kusaliti ndoaPole....
Wife alitakiwa akwambie kwamba hizo ni suprise....hivyo isubirie usije haribu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Alafu unakuta wewe huna kama zile za kwandbag zako zote zimetoboka na pesa yote unalipa kodi ya nyumba na mahitaji ya nyumbani.
Watoto wa kiume yanawapata makubwa.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu....Watoto wa kiume yanawapata makubwa.