Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Tatizo wanamkamia sana
Messi ni nuksi hata akiwa amekaa tu uwanjani
Hivi nyie ni wageni kwenye mpira ?
Football is a team sport hio sio Golf au Tennis...,
Cup Competition sio kama League.., the Best team does not necessarily lift the Cup inategemea on the day umeamkaje na umecheza na nani na a bit of luck...
Kwahio ulitaka apige penalty yake mwenyewe na zile za waliokosa apige yeye na achukue nafasi ya kipa kuzuia penalty nyingine
Tatizo wanamkamia sana
watu wanaangaliaa kutochukua kombe wanashindwa kujua messi ndiyo hupeleka timu fainali kwa magoli na assists. mwaka 2005 walichukua world cup u20 akiibuka mchezaji na mfungaji bora. toka 2012 kacheza mechi 33 na kafunga goli 27. huwezi mbeza mtu kama huyu labda uwe na chuki naye.
The GOAT?
GOAT means Greatest Of All Time.
Now, how can one even ask that question about Messi?
Let's get serious y'all.
He is greater than Maradona..
Afunge magoli kama anayowafunga Getafe na espanyol!!Mnaombeza messi ni maboya sana. Unataka angefanjaje Jana. Apige penati zote yye au? Acheni ukuda