Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,629
Likes
6,195
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,629 6,195 280
160627070255_messi_624x351_reuters.jpg


Messi ajiuzulu baada ya kukosa penalt
Mshambulizi huyo wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa.

Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza Argentina katika fainali ya mchuano wa Copa America. "Kwangu mimi ,soka ya kimataifa ama hata kuichezea Argentina sitaweza tena. ''Nimefanya kila niwezalo.''

''Kwa kweli inaniumiza kuwa sijawahi kutwaa kombe lolote la kimataifa'' alisema mshambulizi huyo mwenye umri wa mia 29.

Mshambulizi huyo ameisaidia mabingwa wa ligi kuu ya Uhispania Barcelona, kutwaa mataji 8 na mataji manne ya ubingwa wa bara ulaya.

Hata hivyo kimataifa Messi amewahi kushinda taji moja tu lile la nishani ya dhahabu ya Olimipiki ya mwaka wa 2008 Olympic.

160627040756_messi_624x351_afp.jpg

Argentina imeshindwa katika fainali tatu za kimataifa.

Argentina walilazwa moja kwa nunge na Ujerumani katika kombe la dunia la mwaka wa 2014 huko Brazil.

Timu hiyo aidha imeshindwa na Chile mara mbili katika fainali za mchuano wa Copa America kupitia kwa mikwaju ya penalti.

Messi vilevile alikuwa katika kikosi kilichoshindwa na Brazil katika mchuano huo wa mwaka wa 2007 wa Copa America .

Argentina walitoka sare ya 0-0 baada ya muda wa kawaida na ule wa ziada.

160627071042_lionel_messi_footbal_player_976x549_reuters.jpg


Akiwa Uhispania Messi ametikisa wavu mara 453 kati ya mechi 531 alizoshiriki.
Hata hivyo Chile waliibuka videdea kwa mabao 4-2 kupitia mikwaju ya penalti.

Messi alipoteza mkwaju wa kwanza.

Akiwa Uhispania Messi ametikisa wavu mara 453 kati ya mechi 531 alizoshiriki.

Aidha Messi ndiye anayeshikilia rekodi ya mfungaji bora wa La Liga akiwa na mabao 312.


========================

Argentina and Barcelona forward Lionel Messi, 29, announced his retirement from international football after missing a penalty in the final of the Copa America against Chile.

"For me the national team is over. I've done all I can, it hurts not to be a champion," Messi said.

With Barcelona, Messi has won eight La Liga titles and four Champions Leagues.

But his only major international honour is 2008 Olympic gold, with Argentina now having lost three major finals in three years.

Argentina were beaten 1-0 in the World Cup Final by Germany before two Copa America final defeats by Chile on penalties. He was also on the losing side against Brazil in the 2007 Copa America final.

After Sunday's match finished 0-0 in 120 minutes, Chile won 4-2 on penalties.

Messi's penalty miss was Argentina's first attempt in the shootout and it ballooned over the bar after Sergio Romero had denied Chile's Arturo Vidal.

Lucas Biglia also missed from 12 yards, with Chilean substitute Francisco Silva scoring the decisive spot-kick in the final in East Rutherford, New Jersey.
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,798
Likes
2,493
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,798 2,493 280
its too early
 
K

K A B U R U

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
479
Likes
248
Points
60
K

K A B U R U

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
479 248 60
Huyu jamaa amevunja rekodi ya Batistuta ya kuwa mfungaji bora wa national team akiwa bado umri unamruhusu kuendelea, sasa huu uamuzi wake unathibitisha kuwa hakuwa na mapenzi na timu ya Taifa.
 
Sunbae

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
231
Likes
164
Points
60
Sunbae

Sunbae

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
231 164 60
Huyu jamaa amevunja rekodi ya Batistuta ya kuwa mfungaji bora wa national team akiwa bado umri unamruhusu kuendelea, sasa huu uamuzi wake unathibitisha kuwa hakuwa na mapenzi na timu ya Taifa.
Vipi kama anajisikia vibaya kwa kupoteza 4 major tournament na anafikiria nafasi hiyo ya kupigania nchi awaachie wachezaji wengine?
 
K

K A B U R U

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
479
Likes
248
Points
60
K

K A B U R U

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
479 248 60
Unapokuwa mchezaji bora ulaya na dunia, halafu unasema nafasi uwaachie wengine... naona fighting spirit hana huyu jamaa.
 
H

Heijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
866
Likes
1,196
Points
180
H

Heijah

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
866 1,196 180
Huyu jamaa amevunja rekodi ya Batistuta ya kuwa mfungaji bora wa national team akiwa bado umri unamruhusu kuendelea, sasa huu uamuzi wake unathibitisha kuwa hakuwa na mapenzi na timu ya Taifa.
Kikubwa ni team kushinda sio record binafsi pia kwa mimi ndio kweli anaongoza lakini ni baada ya kucheza mechi 113 goal 55 wakati Batistuta mechi 78 goal 54 hii ukija kwa hesabu nyepesi goal ration Batistusta alikuwa top. Lakini leo sio issue ya records ni kushindwa kushinda ubingwa wowote na team ya taifa end of story.
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
2,607
Likes
1,316
Points
280
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
2,607 1,316 280
...ame-panick huyu,huwezi kustaafu timu ya taifa muda mfupi baada ya kufungwa kwenye fainali,at the age of 29!
Ila kama hatarudi,hii ndio itakuwa mbaya zaidi,ataonekana amekimbia majukumu!, siku zote kufungwa au kushinda ni sehemu ya matokeo.
 

Forum statistics

Threads 1,236,136
Members 475,007
Posts 29,247,953