Is marriage overrated....???

Kumbe mi bado sana
 
marriage is overrated kulingana na hiki kizazi kilivyo.....ila mazingira ya ndoa yangekuwa kama zamani mbona mambo bado yangekuwa mswano.

mi mwenyewe labda Roho wa Mungu anishukie ndio nioe!!
 
Kula tano apo ulipo mkuu
 
Ndio[emoji4] yani kusema kweli hua naona ndoa ni kama kamali tu pia hua siyaamini mapenzi kiasi hiko
Hupaswi kuyaamini mapenzi kupitiliza lakini ndoa unapaswa kuiamini manake ni kitu ambacho utakipitia tu huwezi kuwa alone maisha yote kuna mambo ambayo hakuna MTU mwingine anaweza Fanya ila mke tu au mume tu
 
Hupaswi kuyaamini mapenzi kupitiliza lakini ndoa unapaswa kuiamini manake ni kitu ambacho utakipitia tu huwezi kuwa alone maisha yote kuna mambo ambayo hakuna MTU mwingine anaweza Fanya ila mke tu au mume tu
Labda baadaye nitakuja kuiamini lakini kila siku nikiona nyuzi za wanandoa kulalamikia usaliti ndio nazidi kutokua na mawazo ya ndoa
 
Wanaume wengi hujipata hawana furaha na wenye msongo mawazo baada ya kuoa. Ingawa kuoa hufanya wanaume wawe 'grounded' na kupunguza mambo hatarishi na pia huwafanya kujiona waliofanikiwa kuwa na familia lakini wengi huwa wanapoteza nuru na furaha ya maisha. Wengi huwa mfano wa mnyama alitolewa mbugani na kuwekwa katika zoo, uchangamfu wa maisha unapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…