Falling in love is one of the biggest mistakes most people make!!!...
Even our mamas stopped loving us unconditionally, then kwa nini nimpende mtu...alafu iwe unconditional love..!!
Love is a "felt" "decision".
Then what is it if its none of the above?
Falling in love is one of the biggest mistakes most people make!!!...
Even our mamas stopped loving us unconditionally, then kwa nini nimpende mtu...alafu iwe unconditional love..!!
Naomba kupingana na ww about that part of mums stopping to love unconditionally, sio kweli. Upendo wa mama kwa mtoto is unconditional and regardless of what a child does the mother would always love them till their very last breath.
I dont think so eli

Mimi binafsi nadhani yote mawili yanahusika hapo ila kuhusu lipi linaanza kuna tofauti kati ya wanaume na wanawake. Wanaume zinaanza feeling then decision na kwa wanawake ni vice-versa
Nimependa jinsi ulivyofunguka rafiki….Mimi naona upendo unabeba vyote vitatu labda vinatofautiana kipi kinaanza, Hisia, chaguo na maamuzi vyote vinajumuishwa kwenye upendo. Tusidanganyane hapa huwezi kuchagua na kufanya maamuzi bila ya kuwa na hisia.
Cha muhimu unatakiwa kuzicontrol hisia zako kwa kufanya maamuzi yenye busara. Watafiti wanasema usianguke kwenye mapenzi (dont fall in love) ila penda kukua kwenye mapenzi (grow in love). Mapenzi ni kama mbegu, itunze kwa kuipalilia na kuimwagilia maji kila siku, itachepuka na kuwa mche mdogo baada ya muda majani mazuri kisha maua yenye harufu nzuri na hatimaye matunda. Tupende kukuwa kwenye mapenzi.
Nimependa jinsi ulivyofunguka rafiki .
love is friendship.
If that was the case, tusingeona wadada wakitupa watoto vyooni, wakitupa majalalani, pia tusingeona ongezeko la watoa mimba..hata hao wa tumboni ni watoto na wanahitaji hiyo unconditional love.. Sijui utajustify vipi kuwa siku hizi kweli mnawapenda watoto wenu kweli kweli!!