Sasa hivi CCM wanatekeleza miradi kwenye majimbo ambayo wanaona kuna Mwana-CHADEMA 'msumbufu'. Na tafsri bado inabaki pale pale, kwamba CHADEMA ndio sababu kubwa kwa CCM na serikali yake kutekeleza hiyo miradi.
Kwa kifupi CHADEMA wanatakiwa ku-articulate haya mambo vizuri, ili wananchi wanaotaka maeneo yao wajengewe madaraja, barabara n.k wachague 'fimbo'. Bila fimbo hawafanyi kazi hawa watu! 51 years watu wanaliwa na mamba walikuwa wapi?
FJM, unajua CDM wakiendelea kufanya hivi ili serikali ya CCM iwaletee maendeleo wananchi CDM watakuwa wamejipa nafasi ya consultant wa CCM na wasipoangalia watakaa kwenye upinzani wa kudumu. CCM ndicho inachotaka hicho kwamba CDM iwe ni 'mkosoaji na mshauri" lakini yenyewe iwe mtekelezaji. CCM haioni ubaya hata kidogo kuchukua hoja za CDM na kuzifanyia kazi na wala haioni haya. Kwanini ione haya wakati inakuwambia "hiyo ndiyo kazi ya upinzani kuishauri serikali iliyoko madarakani"?
CDM na wenyewe (na nimelisema hili mara nyingi) wamekubali hii kazi ya kuwa washauri wa CCM. Hawachoki kusema "serikali ifanye a, serikali isikilize, serikali n.k". Huwasikii wakisema tunataka serikali iondolewe ili sisi tuje kufanya a, b na c. Na serikali ikifanya yale CDM inataka CDM NI LAZIMA ITOE PONGEZI. Na CDM wanatoa pongezi kama wanaakili mbovu.
"Tunaipongeza serikali kwa kutusikiliza"
"Tunashukuru serikali kwa kuonesha usikivu"
"Tunamshukuru Rais Kikwete kwa kutufanyia a, b na c"
"!!!!
You are paid or you are ambitious but believe me we wananchi will dump you to your political death wherever you go because that what worthiless people like you deserve.You'll be the first to acknoledge if within CHADEMA machinery is Rosy. All tell tales sign is for everyone to see.
Do you know how small is window of opportunity for a CHADEMA to General election?. The party have only 33 months and between these months, to name few, the'll face ;
1) 3 major parliamentary assembly (budget) and it takes chunks of almost 5 moths for year in parliamentary assemblies plus other small gathering.
2) internal election (expect fierce fighting and wrangling)
3) referendum for new constitution (go to the public to sell the party position on new constitution)
4) Local government election
In fairness, when it comes to organisation and political playfied, CCM have advantage than CHADEMA.
I'm not very sure if CHADEMA is ready for upcoming political game. May be, I'm wrong as time will tell.
Sijui ni lini maisha yamekuwa rahisi; bei ya sukari imeshuka, elimu imekuwa bora kwenye shule zetu na mahospitali wanatoa huduma za kuridhisha mpaka ccm ianze kukubalika. CCM haiwezi. Hizo ni mbio za sakafuni tu.CCM wamejipanga hilo halina ubishi. wametia sumu ndani ya Chadema, wakati chadema wanahangaika na hiyo sumu huku wamesimamisha M4C, CCM wanawatembelea wananchi kwa lengo la kuwasikiliza shida zao na kutimiza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi 2010. Na hili limeanza kuwavuta watanzania wengi kuanza kuikubali tena CCM
Sioni na sielewi Chadema watatoka na gea ipi ili kuwapita CCM na kukubalika tena kwa wananchi kwani sera yao ya ufisadi imepitwa na wakati. Ni wakati mgumu sana kwa Chadema lakini ni wakati mzuri kwa watanzania, kwani chama tawala kimekurupuka usingizini na kuanza kutenda yale waliyopasa kuyatenda miaka mingi.
Nakubaliana na usemi wa marehemu babu kwamba ukiona mke mmoja anakusumbua dawa yake ni kuoa mke wa pili. Hawa wanawake watashindana kukuhudumia na kukuheshimu. Watanzania tulikuwa na mke mmoja tu ambaye ni CCM ambaye alijisahau kutimiza matakwa yake. Tumeoa mke wa pili Chadema, CCM imeamka na kuanza kufanya majukumu yake. Shabashhhh kumbe CCM inaweza?.
Sijui ni lini maisha yamekuwa rahisi; bei ya sukari imeshuka, elimu imekuwa bora kwenye shule zetu na mahospitali wanatoa huduma za kuridhisha mpaka ccm ianze kukubalika. CCM haiwezi. Hizo ni mbio za sakafuni tu.
nikweli ulichosema kwamba bado hawajafanya vya kutosha na inabidi waongeze juhudi.kuhusu mabilioni ya uswiss; mzee tupa tupa alishatuambia humu kwamba yeye na wenzake wametumwa huko kuchunguza.natumai atakuja na majibu mazuri.KWA NCHI KAMA TANZANIA ILIPASWA TUZUNGUMZIE ZAIDI YA HAYO MKUU!!Kwa rasilimali tulizonazo hatukupashwa kuzungumzia juu ya barabara na maji leo hii 2013.Tulipashwa kuwa mbali zaidi kama Malaysia, singapore au indonesia kam sio poor governece ya serikali ya ccm.
Usisahau pia kumwambia atoe kauli kuhusu Offshore account za Mafisadi uswiss na kwingineko.Na mawaziri wake waliondolewa madarakani kwa tuhuma za wizi amewachukulia hatua gani? Atujibu pia kwa mchanganuo mpana kwennye hotuba zake za mwezi kuhusu hilo deni la taifa kupaa zaidi ndani ya utawala wake.Mikataba ya madini inayotupotezea mabilioni ya pesa.
You are paid or you are ambitious
believe me we wananchi will dump you to your political death wherever you go because that what worthiless people like you deserve.
You'll be the first to acknoledge if within CHADEMA machinery is Rosy. All tell tales sign is for everyone to see.
Do you know how small is window of opportunity for a CHADEMA to General election?. The party have only 33 months and between these months, to name few, the'll face ;
1) 3 major parliamentary assembly (budget) and it takes chunks of almost 5 moths for year in parliamentary assemblies plus other small gathering.
2) internal election (expect fierce fighting and wrangling)
3) referendum for new constitution (go to the public to sell the party position on new constitution)
4) Local government election
In fairness, when it comes to organisation and political playfied, CCM have advantage than CHADEMA.
I'm not very sure if CHADEMA is ready for upcoming political game. May be, I'm wrong as time will tell.