Is ITV pro- CHADEMA?

Kama mkuu wa nchi hakumuongelea Marehemu, then ni sawa tu maana baada ya huyo kiongozi wa upinzani kumaliza kuongea, mtangazaji alibainisha kuwa mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Rais. Ama ulitaka wakati Mbowe akiongea awe anaonyeshwa picha ya Mh. Rais tu akiwa anamsikiliza Mbowe?
 

Hoja yako ina msingi, ila hata wewe hujaielewa. Kwa tbc kuonesha 1kwa1 mkutano wa nccr sii mfano uliosadifu utetezi wako, maana walilipia muda wao hewani au tbc walihisani?

Kwamba tbc walikokwama ni pale chama dola, kilipoambatanisha utendaji wa serikali bila mpaka wa kueleweka. Maana imekuwa kama serikali ni ccm na ccm ni serikali.
 
Mleta mada nawe ni MZIGO tu.
 
Wewe mwenyewe upo biased,tbccm wanaipendlea magamba na wewe unawaunga mkono sasa HOJA UMELETA YA NINI?
 
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu
Sasa kama raisi hakusema chochote kwenye huo msiba zaidi ya kumwaga mchanga kaburini ulitegemea ITV watangaze nini?
 
Hata kipofu anajua kuwa ITV ni Chadema.

jaman tuweni realistic. unajua hata ukiwa tuseme bar unapata kinana ya baridi kwenye taarifa ya habari akionekana au mbowe au slaa au lissu kinanyika na wengineo watu husogea kusikiliza kinachosemwa. lakin km ni habari inawahusu maccm hakuna anayehangaika nayo hata maccm wenyewe huwa hawasikiliz. sasa km wewe umgekuwa chombo cha habari kwa nini usitoe kipaumbele kwahabari za watu wenye mvuto ktk jamii?
 
hivi unaweza kumpa uzito mtu anayechoma mamilioni ya walipa kodi kutoka ulaya kwenda chalinze kumzika mbunge utadhani imetokea tsunami au mafuriko yameua watu 100,jk ni mwepesi mno,hongera itv kwa kumpuuza kil.aza.
 


Umekosa ukuu wa wilaya, make umesahau kuweka "Dr"
 
Simple calculations: Chadema cha wachagga + ITV ya wachagaa = ITV is Pro Chadema

kweli shukrani ya punda ni mateke ITV imewabeba CCM tangu Enzi hizo hata kabla ya TVT kuanzishwa hamna shukrani MACCM kazi yenu ni kuchonga tuu, kila siku ya Jumatatu mumepewa coverage kubwa dakika arubaini na tano muweze kumwaga sera zenu , taarifa za habari na vipindi vya ITV vinamlenga mraji sio mtu,taasisi au chama kwa hiyo waandishi waliobobea wanaangalia maudhui ya ujumbe sio tu ujumbe uliotolewa hata kama hauna content za kitaifa, ili mradi habari ya raisi ilisemwa basi hakuna baya ,mengi amejitolea milioni 500 kwa shule ya salma rufiji je salma ni mchaga
 

chokochoko zote hizi ni hasira za vichapo vya M4C PAMOJA DAIMA! Na bado
 
wa jamii iliyostaarabika kwamba mahali anapokuwepo kiongozi wa nchi apewe uzito unaostahili
Mkuu hiyo ndo kazi ya mhariri mkuu wa media house yoyote ile, kuchagua habari ambayo a najua itavutia wateja wake, ie watazamaji kwa kesi ya hapo juu. Inaonekana Sam LUhanga hakuongea kitu cha maana that's why walichukua speech ya mbowe sbb ilikuwa na uzito. Si kila tukio akiwepo rais ni tukio.
 

kwa akili yako hujajua sababu ya kurusha mkutano mkuu wa NCCR ??? wenye akili tuling'amua siasa iliyotumika hapo! ulirushwa kwa sababu za kisiasa tu na mlengwa akiwa cdm!
 
Ina maana hujui kuwa Mbowe ni maarufu kuliko mkuu wa nchi,Kikwete?
Watu wanataka kusikia kutoka kwa Mbowe kuliko kwa Kikwete,
 
Stoke umepotoka unajua majukumu ya televisheni ya umma? Unaiona BBC au CNN wale wanachambua mambo kwa uwazi mkubwa na kwa usawa si tbc ambao wao mambo ua msingi kwenye taifa ayawahusu bali nu ccm wamefanya nini?rejea kuzama kwa mc splender tbc wanaweka taarabu huku ndugu zetu tukiwa tumewapoteza sasa muache mengi awe huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…