hata mimi nkisikia habari ambayo mkulu anaongea bora nihamie kwenye futuhi hana jipya kabsa TBC inamtosha huku kwingine tunaangalia watu wanataka kumsikilza nani! Thats all.!
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu
hapa ninahitajika nikuelimishe kidogo, TBC ni televisheni ya taifa wajibu wake mkubwa pamoja na mambo mengine ni kuwahabarisha watanzania shughuli za serikali na kwa sasa serikali iliyopo madarakani ni ya CCM huwezi epuka hilo, baada ya hapo inakuja kwenye habari nyingine na kwa kiasi kikubwa sana TV hii imekua ikiripoti mambo mengi tu ya kijamii si ya CCM pekee, kama hivo karibuni mkutanao mkuu wa chama cha upinzani cha NCCR tbc ilirusha matangazo yake live, sasa sijui hiyo prception kua ni chombo cha CCM inatoka wapi??Akili yako imepigwa stroke! ingekuwa nzima ungewahoji TBCCM kwanza maana ni pesa yetu ya kodi! Kwa sasa ndio kimekuwa chombo cha maccm!
ONYO. kutumikia tumbo ni hatari kwa akili yako.
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu[/QUO
Kwani mkuu wa nchi naye alihojiwa?
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu
Did you ask the same question when ITV covered Kinana and Nape's tour to Ruvuma, Mbeya and Njombe? If not, huo ni unafiki ambao unakuvunjia heshima yako
wa jamii iliyostaarabika kwamba mahali anapokuwepo kiongozi wa nchi apewe uzito unaostahili
Sura na akili zako zinafanana na Avator yako.natamani nikutukane ila naogopa ban then nishindwe kuchangia mada zenye maana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hapa ninahitajika nikuelimishe kidogo, TBC ni televisheni ya taifa wajibu wake mkubwa pamoja na mambo mengine ni kuwahabarisha watanzania shughuli za serikali na kwa sasa serikali iliyopo madarakani ni ya CCM huwezi epuka hilo, baada ya hapo inakuja kwenye habari nyingine na kwa kiasi kikubwa sana TV hii imekua ikiripoti mambo mengi tu ya kijamii si ya CCM pekee, kama hivo karibuni mkutanao mkuu wa chama cha upinzani cha NCCR tbc ilirusha matangazo yake live, sasa sijui hiyo prception kua ni chombo cha CCM inatoka wapi??