Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 76,019 159,773 Jun 19, 2016 #2 Aliyesema Wazungu hamnazo hakukosea
uhurumoja JF-Expert Member Mar 2, 2014 9,585 22,445 Jun 19, 2016 #3 Kama ni kweli basi ni zaidi ya painting zingine huwa zimebeba code mbalimbali ambazo huwa na maana kwa wenyewe wanaonunua.
Kama ni kweli basi ni zaidi ya painting zingine huwa zimebeba code mbalimbali ambazo huwa na maana kwa wenyewe wanaonunua.
Bill of Quantity JF-Expert Member Dec 2, 2014 1,233 406 Jun 19, 2016 #4 pesa zake mwenyewe... Jasho lake mwenyewe.. Kwanini nimpangie matumizi?
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 7,232 4,171 Jun 19, 2016 #5 Alieinunua ndio anajua thamani yake; wewe kapuku unaona anapoteza fedha!!!