heheheheee, huo uzi umekaa vizuri wacha niutafutie nafasi niurushe hope tutapata walichontimwa. Japo najua na wenyewe wa kitanga watakuja kujitetea kuwa wako kamili idara zote, huo uzi utakuwa active sana au ngoja nikuachie mkuu Don Mangi uuanzishe.

Mkuu Sakapal we uanzishe tu bhana, mi nimekupa highlight, kwa kua wewe ndo unatafuta kitu watoto wa kitanga wamenyimwa shurti uanzishe uzi. Mie nakubali watoto wale wamejaliwa kwa kweli sina objection.
Hahaha! Pole sana mkuu Don Mangi umenikumbusha safari moja nilienda s'umbawanga wanawake wa kule wengi wao ni hawajui kabisa madikodiko yani ilikuwa ikifika mda wa kula tu naanza kufikiria mara mbili mbili nile nini sasa na wapi? Mwisho naamua kupiga chai tu au Maziwa na kitafunwa chochote kuna sehemu zingine ukienda zinakera kweli haswa suala la mlo!

Labda wamakonde ndo nimeskia shughuli yao pevu, niko huku kwa wamwera hamna lolote!
Kama Mungu hakupi yote, mbona watoto wa kitanga wamepewa vyote, upishi wa chakula cha mchana na usiku vilivyo.
Siku hizi kila kona wanawake wamecharuka, hata wale waliokuwa wanasemwa wanasoma magazeti siku hizi hadi kibao kata wanajua,kibao cha mbuzi sijui nini na nini