ukinipa nafasi nitakuonjesha ...
hehehehe kama unajua kitakacho tokea kwa nini na wewe usifikirie kama jamaa atakuwa amesha maliza na hii ni defence mechanism ikija kukufikia kisiwe kitu kigeni kwako.
sijakupata
...Mungu wangu!!!! mke wa mtu sumu baba'ke... hujawahi sikia tego wewe?
Yeah!...
...anamaanisha, mume anakwambia fulani ananifuata fuata, kumbe tayari keshatembea naye. Anatumia mbinu hiyo kujikinga ili hapo baadae utapokuja ujua ukweli akwambie ni wazushi tu hao, unaujua ukweli!
Mzee ujanja wote wake za watu no....nadhani pia wadada waume za watu balaa !
Mkuu wewe mwenye tayari umesogeza tena bado unataka Bellie si utuachie sisi ambao bado tunapiga mbizi?
Hahahah nilikuwa bado nipo nipo kaka....nilikuwa mpiga mbizi huko natoka sasa.....
Anzisha na wewe utafute binti wa mwambao au hutaki hao unapenda wa kibara bara?
Hongera, kunawengine wakipewa hio viza ndo kama umempa chizi rungu...ila kama hiyo viza inatoka kwa wote wawili basi mambo poa! Mimi binafsi napenda mambo yetu yaende at par (sijui nimepatia yani kwa kikwetu sambamba).
Mamii ni kweli ruhusa sambamba inapendeza isiwe nashindano tu!
Sema kwa mwanamke haipendezi kurudi asubuhi, ukitoka na shosti zako angalau mpaka midnight siku imeisha na mmefurahia ladies outing.
...dooooh! sidhani kama nilivyomuelewa, ngoja aje mwenyewe hapa BJ atuhabarishe! 😀
Ukirudi kwangu asubuhi utakuta begi mlangoni linakusbili tena bila maelezo na barua 3 ukafungulie kwenu
Mbu!
Ni kwamba mara nyingi Mr huwatoka naye, benet benet...ila kwa kuwa ana marafiki wazuri mara chache atakuwa anapata visa ya kuwa na rafiki zake ....najua Masa si toto tundu....pia wakati mwingine na mimi ninaweza toka na best zangu mara kadhaa ila nitawahi kurudi no pressures japo mpaka kumekucha itakuwa hapashikiki halafu kwa mwanamke haipendezi, familia na watoto watashangaa ni mama wa aina gani!..
Mbu!
Ni kwamba mara nyingi Mr huwatoka naye, benet benet...ila kwa kuwa ana marafiki wazuri mara chache atakuwa anapata visa ya kuwa na rafiki zake ....najua Masa si toto tundu....pia wakati mwingine na mimi ninaweza toka na best zangu mara kadhaa ila nitawahi kurudi no pressures japo mpaka kumekucha itakuwa hapashikiki halafu kwa mwanamke haipendezi, familia na watoto watashangaa ni mama wa aina gani!...
Haya mama, ila mambo haya ndo yamewafanya wanaume wawe na vichwa nazi kwa kuwalelea na mambo kama haya...nashukuru wakwangu tulishakubaliana toka awali na ninafurahia kupata mme kama huyu. Endeleeni kuwafuga mkidhani ndo watawaheshimu...kumbe wanawang´onga wakiwaacha ndani mpaka asubuhi. Yeye kama kichwa cha familia nivizuri kuonyesha mfano mzuri. Hata hivyo na wapa pole hao wanaume maana hao wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.
Mweee, ilikuwa ni harakati ya kujinoa baba na nyingine kutoka kwa mashogaa. Ila sio siri mbu, hapa ni mwisho wa mawazo. JF oyeeeeeh!...pheeeeeeeeeeewwww, Penny weye huyo ama? 😀 nimefurahi kusikia hilo. zile posts zako za awali zilikuwa zinakila dalili umeuvaa mkenge!
wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.
Penny
Usituharibie wake zetu bana....my honey can not do that to me....believe it....kwanza hana mambo ya kiswahili...got it?
Haya mama, ila mambo haya ndo yamewafanya wanaume wawe na vichwa nazi kwa kuwalelea na mambo kama haya...nashukuru wakwangu tulishakubaliana toka awali na ninafurahia kupata mme kama huyu. Endeleeni kuwafuga mkidhani ndo watawaheshimu...kumbe wanawang´onga wakiwaacha ndani mpaka asubuhi. Yeye kama kichwa cha familia nivizuri kuonyesha mfano mzuri. Hata hivyo na wapa pole hao wanaume maana hao wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.
Jamani shem za leo, vipi hang over! oops sorry kumbe it is tuesday...jamani sio kwamba nawaharibia, nilikuwa najaribu kuwapa ukweli halisi, kama unaonekana uharibifu, am very sorry my shem.
...kule mitaani kwetu mdundiko, taarabu na mkesha mpaka "salaaaah, salaaah...!" sidhani kama wale 'kina mama-vidole' juu wote ni wajane,..sijui lakini! 🙁
Its Wednesday! Well it depends where you're....maana Bellies akisoma hii mmmmhh.....hawezi lakini....niko poa sana aisee pressure ya kazi na maisha...unajua tena na mipango ya kuvuta mwenza basi ndo vile...ndugu yangu simsikii kabisa ama mambo ya economic recession?
Wasalaam
Shemejio Masa