Is it true?.... Please enlighten me!

Aksante sana Ligogoma[... umenielimisha. Ubarikiwe
 
Ni vizuri kufanya hivyo mapema iwezekanavyo, kama una huo mpango lakini...! Kuzaa ukiwa na umri mdogo nakwo raha ujue..cwu=chama cha walala-----!
nimeona aibu mmh nitavaa nguo
 

Kitufe cha like sina..kaka
na kikubwa ni kila mtu kuwa na nia ya kudumu katika ndoa. so mtatikisika but mta dumu.ila kama mmoja anajiona yuko karibu na exit door lazima jahazi liyumbe.yangu chaliiii after 7 yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…