Is it the end of Adobe flash ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it the end of Adobe flash ?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Nov 10, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Adobe wametangaza kuwa wanastopisha development flash player kwa mobile kwa sasa na wanajikita kwenye future Web standard ambayo ni HTML5. So mpaka hapa ina maana flash inaoenakan inafaa kwa Desktop application Lakini je
  • Hizi sio dalili kwau adobe flash imefikia au itafikia mwisho hata kwenye desktop?
  Soma habari zaidi DALY TECH hana Technocruch

  Kwa hiyo japo HTML5 ni recomendation tu na bado haijawa standard rasmi wadau tunatakiwa kunaza ufahamu fahamu zaidi na kujua tofauti ya XHTML na HTML 4.1 na HTML5.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  nah hio html5 inaplay streaming kama za youtube?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Chief Yes ina play na hata youtube zaidi ya flash kwa sasa hivi pia inasupport video standard za HTML5. Kikwazo kikubwa ni browser . hapa w3school unaweza kuona Chrome ndiyo inakwenda sambamba zaidi na specs za HTML5
   
Loading...