Sio kisiasa naona Lukaku atakuja kuwa mkali sana,Ba na Mata ni wachezaji wa timu ndogo Torres wa ukweli alikuwa Liverpool
Mourinho siku zote ni kocha anayetaka wachezaji wanaoweza kucheza nafasi zaidi ya moja na wenye spirit ya ushindani(Drogba,Essien,Cambiaso,Zanetti,Ramos,Coentrao) na Rooney ni mmojawapo.Sidhani kama Ba na Mosses wanafit kwenye mipango ya Mourinho
Hahah Mourinho unaona umemsababisha Belo kapigwa ban sasa...
eniwei i still believe torres ni better kuliko rooney in many way...atitude included. Halafu unajua torres anaweza kuchezeshwa winger na akacheza vizuri TU...i saw him msimu uliopita.
Moses pia sidhani kama anaweza kuuzwa msimu huu ila jinsi atakavyocheza ndo kuta determine msimu ujao utaendaje kwake.
Still nadhani Ba ataondoka very soon....akifuatwa na Mikel.
Mmmh! Belo tafadhali tutake radhi mkuu. Mata na timu ndogo haviendani kabisa.