I gat yo point broh. Hapo kwenye uoga wa kujichanganya au kujitenga kabla hajatengwa ni 100% true,na hata ikitokea maskini akajichanganya nao,mara nyingi anakuwa muoga kuexpress mawazo yake.Akili,hekima ufahamu,kipawa,ujasiri.
Afya
maskini waTz bahati sana amepungiwa nyenzo hizi.
Ni muoga,si mwerevu hawezi kujichanganya .anajitenga kabla hajatengwa.
na bado ale sahani moja na matajiri.
haiwezekani.
Kinachowatofautisha ni Mioyo safi na Exposure...TU.Nashkuru mkuu kwa kuona umaana wa bandiko ili. Kwa mtazamk wako,nini kinawatofautisha matajiri wa matafaita yaliyoendelea na matajiri wa huku kwetu?