Is it bad to have a toilet share a wall with the bedroom

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
I have been working with an architect on designing a new ma. ba. It is a mcm home, so will be somewhat modern.

The criticisms I have heard of the plan include:

- toilet is too far away

- toilet shares same wall as bed

I can sound proof that part of the wall, as I am going to do this with another bath that borders the dining room/dining room.
I also thought about extending the sink counter. I would love a dramatically long counter and I know I would use it.

Does anybody have any thoughts?

Thank you!

Tatito sikuweka choo ndani, ila kuchota mavi toka chooni na kuyaweka chumba cha kulala.
Hiko chumba hakitakalika tena harufu yote ndani
 
kuchota mavi na kuyaweka chumbani? kimsingi mavi (lowassa) yamechotwa kutoka chooni (ccm) yakaletwa chumbani (ukawa) hii kama ndio mana yake basi waliompa kazi hii padre wajue kuwa kawananga zaidi. choo kitabaki kuwa choo na ni sehemu ya kuhifadhi uchafu(kinyesi na mkojo). Ikiwa na maana ya kuwa walioko ndani kule ni chooni (ccm) ni vinyesi na mikojo, ....Huku chumbani kinyesi unaweza kukifunika, kukikausha na ukaweka manukato hutakisikia harufu tena. Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
Slaa kawatukana sana ccm cha ajabu wanamfurahia
 
kama chumba ni master bedroom je? kinyesi hakita leta madhali. Mie naona tatizo ni choo(ccm)
 
Tatito sikuweka choo ndani, ila kuchota mavi toka chooni na kuyaweka chumba cha kulala.
Hiko chumba hakitakalika tena harufu yote ndani

Kwani hicho choo huwa kinatoka wapi kwa binaadamu ama mawe na ule utumbo wa kuhifadhi hicho choo huwa uko pembeni ya mwili ama ndani ya mwili?.
 
Back
Top Bottom